Ishara kama Aina za Wachawi

Ishara kama Aina za Wachawi

Mchawi wa moto

Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu

Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.

Mchawi wa Kijani

Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.

Mchawi wa Kioo

Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia

Mchawi wa Jikoni

hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji

Mchawi wa mwezi

Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk

Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani

Mchawi wa mziki/kughani

Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.

Mchawi wa Usiku

Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.

Mchawi wa Dhoruba

Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk

Mchawi wa nyota

uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati

Mchawi wa Uganga

Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk

Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.

Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena
nitaweza kuloga?
 
Dah
Hii dunia imejipindia asee

So kuna watu wanatembea mitaani, ila washachukuliwa kila kitu

Kifupi ni makopo tu?
Yap, is why huoni why mikosi inamuandama mtu, kumbe madada poa walishafanya yao. Wao huenda kwa waganga kupeleka vitu vyako halaf mganga hunuizia jambo ili unase

Kuwen makin sana, ukiona demu anahizo mambo baki na kitambaa chako
 
Mchawi wa moto

Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu

Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.

Mchawi wa Kijani

Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.

Mchawi wa Kioo

Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia

Mchawi wa Jikoni

hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji

Mchawi wa mwezi

Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk

Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani

Mchawi wa mziki/kughani

Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.

Mchawi wa Usiku

Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.

Mchawi wa Dhoruba

Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk

Mchawi wa nyota

uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati

Mchawi wa Uganga

Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk

Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.

Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena

Mzee Kisebengo ana uchawi upi kati ya zote kwenye list? Kule kwetu Nziha na Dutumi huwa wanaenda kucheza na mashetani yao mlima Kolelo
 
Anko angu ni mchawi wa nyota. Sasa ana book lake nilikuwa nasoma basi ndio nikawa curious nichungulia nyota zinasemaje kuhusu bwana Antipas uwezekano wa kutoka Lupango.
Mambo si mazuri aisee Ila mi bado amateur so take this with grain of salt.
 
Ni lazima kumrudia Mungu
Aise sio poa maana tulikuwa kata moja uko usambaani mimi na rafiki yangu ambaye ni mzaliwa na mwenyeji wa iyo kata tulikuwa tunapenda kulewa pub moja karibu na pub jirani ya maza walikuwa wanadai mshirikina na walikuwa wanabifu Kati ya izo pub yule maza wanaodai mshirikina alikuwa anamchukia mwenzake wa pub nyingine na cha ajabu tukienda pale kulewa pombe tukinywa kidogo tu tunalewa balaa yaani kama sio pombe za kawaida hadi kuna siku zikatokea pulukushani za jamaa yangu pale pun na mtoto wa uyo maza mshirikina jamaa akamkimbiza hadi ndani kwao kwa uyo maza na mimi nikamfata kumgombelezea baada ya ilo tukio kesho yake nikajikuta Sina simu ,yule maza alimind sana kuwa jamaa kumkimbiza mtoto wake ambaye ni kama zimeruka na muda wote analewa na watu wakawa wanadai maza yake ndo kamtengeneza hadi ikabidi tukaombe msamaha yule maza akadai hatoi msamaha Bure Bila help tukamtoa akadai ametusamehe baada ya week tukiwa tumelewa jamaa yangu akapoteza machine ya kukusanyia ushuru POS MACHINE katika mazingira ya kutatanisha na hakuwahi kuipata na ndio safari ya kupoteza vitu ikaanzia hapo yaani nikilewa tu lazima nipoteze kitu,na kuna kipindi ni kama nilikuwa naendeshwa na remote aisee akili inanituma tu nistulie ghetto niende kulewa mbali na kituo changu cha kazi yaani naondoka lushoto mpaka Tanga kwenda kufanya Anasa, sikuhizi ndo nagundua haikuwa akili ya kawaida ,nimesummarize tu ila ni story ndefu sana
 
Aisee! Very interesting.. Alijua kukukamata vibaya mno.. Mimi kuna mama wa Kidigo pale Kino enzi hizo alikuwa mama ntilie.. Huwezi kuamini baada ya kuhamia kwa Aziz Ally ilikuwa kila week lazima nifunge safari mpaka Kibo kwenda tu kula kwake😂
 
Aise sio poa maana tulikuwa kata moja uko usambaani mimi na rafiki yangu ambaye ni mzaliwa na mwenyeji wa iyo kata tulikuwa tunapenda kulewa pub moja karibu na pub jirani ya maza walikuwa wanadai mshirikina na walikuwa wanabifu Kati ya izo pub yule maza wanaodai mshirikina alikuwa anamchukia mwenzake wa pub nyingine na cha ajabu tukienda pale kulewa pombe tukinywa kidogo tu tunalewa balaa yaani kama sio pombe za kawaida hadi kuna siku zikatokea pulukushani za jamaa yangu pale pun na mtoto wa uyo maza mshirikina jamaa akamkimbiza hadi ndani kwao kwa uyo maza na mimi nikamfata kumgombelezea baada ya ilo tukio kesho yake nikajikuta Sina simu ,yule maza alimind sana kuwa jamaa kumkimbiza mtoto wake ambaye ni kama zimeruka na muda wote analewa na watu wakawa wanadai maza yake ndo kamtengeneza hadi ikabidi tukaombe msamaha yule maza akadai hatoi msamaha Bure Bila help tukamtoa akadai ametusamehe baada ya week tukiwa tumelewa jamaa yangu akapoteza machine ya kukusanyia ushuru POS MACHINE katika mazingira ya kutatanisha na hakuwahi kuipata na ndio safari ya kupoteza vitu ikaanzia hapo yaani nikilewa tu lazima nipoteze kitu,na kuna kipindi ni kama nilikuwa naendeshwa na remote aisee akili inanituma tu nistulie ghetto niende kulewa mbali na kituo changu cha kazi yaani naondoka lushoto mpaka Tanga kwenda kufanya Anasa, sikuhizi ndo nagundua haikuwa akili ya kawaida ,nimesummarize tu ila ni story ndefu sana
(6,881) Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo | Page 7 | JamiiForums Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo
 
Mchawi wa moto

Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu

Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.

Mchawi wa Kijani

Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.

Mchawi wa Kioo

Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia

Mchawi wa Jikoni

hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji

Mchawi wa mwezi

Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk

Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani

Mchawi wa mziki/kughani

Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.

Mchawi wa Usiku

Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.

Mchawi wa Dhoruba

Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk

Mchawi wa nyota

uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati

Mchawi wa Uganga

Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk

Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.

Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena
Kaka nakutafuta najaribu kukupm inakataa naomba namna ya kukupata
 
Back
Top Bottom