Ishara kama Aina za Wachawi

Ishara kama Aina za Wachawi

Hivyo mganga ni mchawi pia?Nina shangazi yangu n mganga(sijawahi muamini naona km n tapeli flan hivi)ila watt wake niliwaambia nyie mama yenu n mchawi wanasema hapana mama ni mganga siyo mchawi,haruki usiku mnh hii Imekaaje boss?
Kuna mstari mwembamba sana kati ya hao wawili
 
Swali ulilouliza mwishoni halina Msingi kama wewe umeshatoka huko.

Kujua Mungu na nguvu zake ni jambo la lifetime experience, sasa muda wa kujifunza uchawi wa Nini?
Sometimes ni vema kujua ili kujengeka kiimani
 
Hivi mkuu Mshana kuna wachawi wanaroga kwa kutumia manii ya mwanaume??

Nasikia madanguroni huko ile mipira iliyokwisha tumika inanunuliwa kwa bei ya juu sana na wenye vilinge vyao....
Hiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisa
 
Kuna mama wiki iliyoisha kaniambia mwanaea anaumwa amempeleka sijui kwa bibi gani huko kitunda vitu alivyoambiwa apeleke nimechoka, sikuwahi kujua hata hivi vitu kama vinatumika mahala pengine vitu kama Sanda, najua kwa maiti tu ndo hutumika, hivo vingine hata sikuwahi kuvisikia nyungu chafu, fusho jini, kaniki, mwiba wa nungunungu nikabaki nasema kweli dunia ina mengi
 
Wachawi ni viumbe wa ajabu sana kuwahi kutokea ktk hii Dunia
Familia zinaparaganyika kwasababu ya wachawi
Ndoa zinavunjika kwasababu ya wachawi.
Watu wanakuwa vichaa kwasababu ya uchawi
Vijana wanakosa mwelekeo wa maisha kisa wachawi
Yaani wachawi mambo wanayoyafanya yakuumiza na kutesa wenzao kwao furaha ingawa wengine hufanya kwa visasi.
Wachawi woote motoni mwisho wa Dunia
 
Kuna mama wiki iliyoisha kaniambia mwanaea anaumwa amempeleka sijui kwa bibi gani huko kitunda vitu alivyoambiwa apeleke nimechoka, sikuwahi kujua hata hivi vitu kama vinatumika mahala pengine vitu kama Sanda, najua kwa maiti tu ndo hutumika, hivo vingine hata sikuwahi kuvisikia nyungu chafu, fusho jini, kaniki, mwiba wa nungunungu nikabaki nasema kweli dunia ina mengi
Vipi hawakumuagiza StarFish
 
Malighafi bora sana hizo kwenye ushirikina
 
Hiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisa
Hii mi iliwahi kunitokea Tanga kuna demu nilikuwa naye namgonga alikuja na kitambaa cheupe baada ya kumaliza akanipa nijifutie nilikuja kumsitukia baada ya kuondoka ghetto,na kuna siku nyingine alikuja ghetto akadai anataka akafue Hana nguo za kubadilisha nimpe shirt yangu akavae maana hana nguo za kubadilisha nilikataa,vioja ni vingi sana aswa ukionekana unavisenti kwa Malaya au Masister duh
 
Hiyo ipo sana, manii kiroho ni kiunganisho na uhai wa mwanaume, yes wanachukua na kutumia kukufunga, or akikuosa anakuchukulia bukta kabisa
Sio mipira tu mi ilishanitokea demu kaja ghetto na kitambaa chake cha kunifutia mboo tulivyomaliza kusex akasepa nacho akili ilinipata baadae sana ,
 
Mchawi wa moto

Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu

Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk.

Mchawi wa Kijani

Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi.

Mchawi wa Kioo

Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine, anatumia chakras pia

Mchawi wa Jikoni

hutumia uchawi uliojumuishwa na Kupikia na kuoka. Vyakula na hate vinywaji

Mchawi wa mwezi

Hutumia Mizunguko na awamu za mwezi.
Mwezi mchanga
Mwezi mpevu nk

Mchawi wa mwituni hufanya kazi vizuri zaidi akizungukwa na miti,
anafahamu mimea na wanyama wa ndani na mitishamba.. Hatofautiani sana na mchawi wa kijani

Mchawi wa mziki/kughani

Uchawi huu umejikita sana katika muziki, na kuimba una uhusiano fulani na sauti na hutumia hiyo kuimarisha matambiko ulozi na shirki.

Mchawi wa Usiku

Anakumbatia nguvu nyeusi zaidi, anapendelea usiku na siri zake. hufanya kazi zaidi baada ya saa sita usiku.

Mchawi wa Dhoruba

Anachanganya nguvu yake na ile ya hali ya hewa, hukusanya vipengele kama vile maji ya mvua, barafu nk

Mchawi wa nyota

uchawi wake wote anategemea nyota na sayari , unajimu mipangilio yake na ishara za nyakati

Mchawi wa Uganga

Hufanya kazi na aina mbalimbali za uaguzi, kea kutumia ubashiri, maroho, vitabu, aya za kidini tahajudi nk

Mchawi wa Bahari hutumia bahari katika mazoea yao ya uchawi, kutumia vitu asilia baharini kama vile maji ya chumvi, makombora, mbao za kuteleza, n.k.

Kama utapenda kujifunza uchawi utachagua upi hapo!?
NB: Mimi siko huko tena
Mkuu ivi kuna kurogwa uwe unapoteza vitu maana nikilewa tu nikiwa na vitu mfukoni lazima nipoteze kitu kama simu,card za benki,vitambulisho nk na tatizo lilianzia Tanga kwa wasambaa ni story ndefu hadi nimeamua kuacha pombe
 
Back
Top Bottom