Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 673
- 1,089
🤯🤯🤯😲😲🧟🧟🧟🧟🧟
Lazima atajibu mapigo ya mpuliza gesi, atakuja na jambo lake konkiNgoja Mwamposa awapige kiberiti kwa mara ya pili 😂 naombea itokee kabla ya uchaguzi ili wajinga wajinga wapiga kura wa Ccm wapungue
Tukae mkao wa kula 😂Lazima atajibu mapigo ya mpuliza gesi, atakuja na jambo lake konki
Kumbe, walah ningejaliwa hii talanta ningejaribuNi ngumu sana kwakuwa viasili havifanani.. Kumbuka wale 400 wa jiwe?
Mkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje?Damu inabeba uhai
Damu inabeba roho
Damu inabeba kizazi
Au mchawi anaenda kushiriki ibada takatifuMkuu na vipi suala la mganga kwenda kanisani, hii imekaaje?
Itakua wa moto,mana hili ni national mwe-nge sijui sijawah likubaliWale wa kwenye lile jumba jeupe wanatumia uchawi upi kutuhadaa na kutupumbaza ??
Hivyo mganga ni mchawi pia?Nina shangazi yangu n mganga(sijawahi muamini naona km n tapeli flan hivi)ila watt wake niliwaambia nyie mama yenu n mchawi wanasema hapana mama ni mganga siyo mchawi,haruki usiku mnh hii Imekaaje boss?Mchawi wa uganga