Isha Mashauzi ipeleka Modern Taarab katika ukurasa mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isha Mashauzi ipeleka Modern Taarab katika ukurasa mpya

Discussion in 'Entertainment' started by ngalikikinakiki, Jul 8, 2011.

 1. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nimeangalia video fupi ya Isha Mashauzi katika blog ya John Kitime Muziki muziki nakubaliana na Kitime IMG_0605.JPG kuwa Isha kaleta changamoto mpya. Kushiriki kwenye show na dancers wake ni jambo jipyaaaaa katika Taarab
   
Loading...