Isengekuwa mapenzi; ningeomba hata leo nife

njoo upate mzinga wa konyagi hiyo kauli hutarudua tena utajiona ---- aiseee
 
kwa kifupi ni kwamba huwezi ishi bila papuchi...bora ukose vyote ila sio yenyewe
 
Sijona thamani ya kuishi hapa duniani tofauti na mapenzi, hasa ukimpata akupendaye.

Sawa maisha ni magumu lakini inapofikia swala mko wawili na mpenzi wako ndio inakuja raha na maana sahihi ya kuwepo duniani.

Tofauti na mapenzi sijaona sababu nyingine ya kuendelea kuishi duniani, kama siyo kujitafutie mateso na karaha.

Nyie mnaojifanya matowashi ili hali siyo matowashi lengo mpate ufalme wa mbinguni, mnajindaganya adhabu yenu iko pale pale mbele za Mungu.

haya mapenzi yalivyo ww ndo sababu ya kuishi ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni
 
Sijona thamani ya kuishi hapa duniani tofauti na mapenzi, hasa ukimpata akupendaye.

Sawa maisha ni magumu lakini inapofikia swala mko wawili na mpenzi wako ndio inakuja raha na maana sahihi ya kuwepo duniani.

Tofauti na mapenzi sijaona sababu nyingine ya kuendelea kuishi duniani, kama siyo kujitafutie mateso na karaha.

Nyie mnaojifanya matowashi ili hali siyo matowashi lengo mpate ufalme wa mbinguni, mnajindaganya adhabu yenu iko pale pale mbele za Mungu.

Shule nayomuhimu jamaniii////
 
Mapenzi ndo kila kitu kwako eee, sasa kama huna pesa sisi tunakugongea tu, sisi kwetu pesa kwanza mambo mengine maadae. Mimi nikiwa sina pesa hata dushe haliamki
 
Kweli Upo depressed kama anavyosema NN, manake nikilink na ile post ya "Kuanzisha chama cha wachawi" Napata Picha jinsi ulivyovurugika..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom