huyo mwenye black nani?
Peopleeeeeeeeeeeeeeeessssssssss!!!
![]()
Mtambuzi tambua, nini maana ya kapu!
Mmm! Mbona huyo jamaa mwenye nguo nyeusi kama vile mshumaa...halafu huyu mzungu kama vile beberu.
Ndugu yangu usiwe mwepesi kushangilia angalia vizuri hiyo picha...
Peopleeeeeeeeeeeeeeeessssssssss!!!
Wadau wa JF Kimbunga Pasco Rejao Mchuzi wa bata njiwa Rutashubanyuma Mungi Ebu tupeni mchango wenu kwenye hii picha.
Mkuu ritz huyo mwenye nyesusi unayemuita mshumaa ni nani?
Duh mkuu King Kong III inaonekana wewe ukilala ukiamka unaota peoplesssssssssssss!!! Umekuwa kama kuruta wa jeshi. Ukiingia jeshini unafundishwa utii na moja ya njia ya kutii ni kutamka moja!! Basi kila kitu wewe moja. Yaani kuruta anachokijua ni moja tuuuu! Afende akikutukana wewe ukisikia tu sauti unatamka moja! Nadhani na wewe ukisikia ama ukiona tu kitu chochote chenye uhusiano na CDM unatamka peopleeeeeeeeeeees bila kutafakari.
Mungi hiyo picha si nzuri saaaaana! Inaweza pata tafasri nyingi kweli kweliMtu moja kati ya hao lugha ya mwenzake imempita kushoto sasa wamebaki wanaongea kwa ishara ya macho, mdomo nk.
Moja anazungumza na mwingine anamsikiliza kwa macho badala ya masikio. ni sawa tu!