Isemeeni hii picha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Isemeeni hii picha...

Discussion in 'Jamii Photos' started by zomba, May 27, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Mtambuzi tambua, nini maana ya kapu!
   
 2. N

  Nyuki baby Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaomba usajili nn!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Body language!
   
 4. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  huyo mwenye black nani?
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ametumwa na Obama kuja kuhakikisha kuwa Chadema inakubalika na CCM Kwishney!!!
   
 6. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kazeni buti hawa waliopo sasa pesa tunazowapa wanaweka kwaenye matumbo yao.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naona wapo too close too close ukilinganisha na wengine kwenye picha. Dunia ina mambo.
  Huyo ni mwakilishi wa Cameron?
   
 8. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Angalia vizuri macho yake...... umeona eenh!
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,294
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Unaonekana unakipenda sana chadema.... ungekuwa m-TZ ningekupa kadi ya chadema....
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Peopleeeeeeeeeeeeeeeessssssssss!!!
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mmm! Mbona huyo jamaa mwenye nguo nyeusi kama vile mshumaa...halafu huyu mzungu kama vile beberu.
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu usiwe mwepesi kushangilia angalia vizuri hiyo picha...
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Hizi mila za kuazima zinatupelekesha mbaya...ila mbona huku mwambao hao wamejaa tele?
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo anawashwa na kuzimwa kwa kupulizwa na huyo beberu?
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ritz huyo mwenye nyesusi unayemuita mshumaa ni nani?

  Duh mkuu King Kong III inaonekana wewe ukilala ukiamka unaota peoplesssssssssssss!!! Umekuwa kama kuruta wa jeshi. Ukiingia jeshini unafundishwa utii na moja ya njia ya kutii ni kutamka moja!! Basi kila kitu wewe moja. Yaani kuruta anachokijua ni moja tuuuu! Afende akikutukana wewe ukisikia tu sauti unatamka moja! Nadhani na wewe ukisikia ama ukiona tu kitu chochote chenye uhusiano na CDM unatamka peopleeeeeeeeeeees bila kutafakari.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mtu moja kati ya hao lugha ya mwenzake imempita kushoto sasa wamebaki wanaongea kwa ishara ya macho, mdomo nk.
  Moja anazungumza na mwingine anamsikiliza kwa macho badala ya masikio. ni sawa tu!
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbona picha ni ya kawaida tu jamani!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  ha haa haaa! mkuu Kimbunga nimecheka sana huyo jamaa bado sijamuelewa sijui ni nani ngoja neendelee kuuliza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mungi hiyo picha si nzuri saaaaana! Inaweza pata tafasri nyingi kweli kweli
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...