Isaya 41:10 maandiko yanasema

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,936
Reaction score
12,399
Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja mawe, usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako, nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Ongeza ya kwako.

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Maneno mema sana ila kuna watu wanawaona watumia biblia ni mazuzu na hawana chochote cha kuwafanya zaidi ya kujilizaliza chini ya msalaba Golgotha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…