Is Zitto Kabwe naive or a dangerous populist?

Dear Kamanzi!


Hoja hii hapa chini ina negate kila ulichoandika na vyote vinakuwa kama vinakurudia!

utaweka wapi uso

cheki hapa chini!


it wasnt possible just to ask or use friendly language badala yake unatumia ukali and it all turns out that you are looking excactly what you have described in your post!
 



if you cant read please ask for help!
 
acha kuishi ndotoni na kutengeza dhana zisizokuepo:
kwanza, sina dini - sasa sijui naezaje kuwa mdini bila kuwa mfuasi wa dini za kikoloni? hilarious.
pili, siungi mkono kuvunjwa muungano, najua stability ya usalama visiwani inategemea sana kuwa na mkono wa magogoni, ukivunjika maafa yakuwa makubwa sana.
tatu, siungi mkono kuvunjwa nyumba za ibada zilizoruhusiwa kuapo kisheria
ni vema tukajikita kwene kauli ya Zitto kuhusu mafuta ya znz, ukijenga dhana zisokuepo basi uwe tayari wewe mwenyewe kuzitolea maelezo.
 
Very good. Professional. You can read my statement on zittokabwe.com

Nimeona kwenye website yako, Japo sijafanya verification ya muda ambao machafuko yalianza ili kujiridhisha kwamba ulitoa kauli hiyo kabla ya machafuko kuanza, lakini nalazimika kusema mwanzisha mada amekuonea na hana sababu za msingi za kukushambulia kwa maneno makali namna hii, kwa sababu msimamo wako juu ya machafuko hayo unaonyesha msimamo safi ulio nao juu ya mstakabali wa Taifa letu.

Hakuna utata so Far, huyu Jamaa arudi hapa kukuomba radhi tu basi.
 


wewe ni mpuuzi !
 
Kudos Mkuu! Pengine mimi nilikuwa na kigugumizi kidogo katika kulisema hili ulilolisema wewe. Inaonesha kamanzi katafuta umaarufu kwa kumjadili Zitto na sio kujadili hoja yake ya asili, bila ya kujali kuwa lile la "a wise men spend more time thinking before saying anything" linamgeukia yeye. I wonder on the wisdom of Kamanzi on his post.
 
.

Kwa mawazo yangu tu, UAMSHO hawawakilishi WAZANZIBARI WOTE. Kwa maneno mengine, WAZANZIBARI WOTE si UAMSHO na hata hao wanojitia kundini, nina hakika hawajui hata wanajiingiza wapi. Mimi nafikiri hawa jamaa wana ajenda yao ya siri (pengine kwa ufadhili kutoka nje) na wanatumia mwanya wa kero za Muungano kupata sympathy ya Wazanzibari.
 
Sina cha kukwambia mwanzisha thread kwa sababu masaburi yako yanakuwasha just wait and see Mr Cameroon.
 
Dear Kamanzi are you asking members to decide? because it is clearly that you have made your decision and trying to force us to agree with your decision. look hiw ou describe and crticise Mr. Zito Kabwe.
 

Thanks!!!

Umekumbushia tu unafiki wa wanasiasa na wanazuoni wetu, type Kamanzi ndio iliyojaa humu..... kusubiri aseme zitto au Lissu au timing au bobuk tuwake, tukibanwa tuseme ni timing ya hoja.......... ila wazee wa uamsho wana right ya kusahau kauli za wanasiasa, kauli za yeyote yule ila wao na uamsho... NI kansa mbaya sana inayotula watanzania

Mwalimy Nyerere alikua anasema ni ujinga kufanya kitu fulani.... watu wanagonga meza na kushangilia, kauli ileile angeitoa mwingine, utasikia ooh timing ya kauli, ohh jamaa anatafuta umaarufu nk.

Sisi tuna tatizo kubwa sana, la kuangalia watu fulani kama vile watwana wetu, na mbegu mbaya imekomaa hasa kwa wasomi wetu na kamanzi ni type inayoweza kuwa over 80% ya wanazuoni wetu

INASIKITISHA
 
tHANKS KAMANDA

Sijui hiyo timing anayoileta ni ipi??? au kwamba Zitto alitakiwa kubadili kauli ndio aonekane ana-time vizuri???

Kamanzi ni representative ya wasomi wetu wengi mno... ndio maana tuna wachumi hons. na first class wanaoishia kutumia teachinng materials zilizokwisha oxidize kutokana na rusted mentality ya kwamba "mimi ni msomi" wakati elimu haijasaidia kutanua vision
 
timing gani kuanzia 2009 na wewe?? ina maana ulitaka asubiri hadi lini?? au azungumzie hoja in 2009 na hata ilipotezewa akae kimya simply because alishawahi kutoa hoja??
 
Wrong timing for Zitto! Better discuss the issue in private; we still love to be united

wrong!!! YOU love to be united in the current way

hujamwelewa zitto, hujaelewa hoja na umedandia treni kwa mbele......... si hoja mpya ila tumeamua iwe mpya, kihistoria haya mambo yameshaletwa miaka nenda miaka rudi hata kabla ya G-55 ya akina Njelu Kasaka

hakuna haja ya kudiscuss vitu in privacy, ndio unafiki wenyewe huu.... na hao wanaopinga muungano wana haki yao pia, tusiweke akili ya kwamba kila kitu kina right na wrong basi!!! some things zina make sense only when justified

To me you post shows a rather naive and unexposed Tanzanian to his/her own country systems/politics or even daily dues
 
What is your point here brother?
I can see what you are driving at..........
You need to shut up just like what Benson Bana need.

 
kitu kilichoibuliwa katika huu mjadala ni kwamba waTz hatupendi kusema ukweli when it is necessary to do so na tunamlaumu mtu atakaethubutu kuusema. nimesoma website ya mhe Zitto na sijaona hata kidogo huo udini, uchochezi,nk. he is simply a learned man, who cries foul when something stinks and actually has very professional and pragmatic suggestions on the way forward! mimi binafsi ninatamani wangekuwepo watu kama 20 hivi kama Zitto, wasionyamaza wanapoona hatari, wanaotuonya tujirekebishe au tujenge madaraja yanayobomoka ktk society yetu.
 

Mh. Zitto Kwanini tuendelee na MUUNGANO?? kuna sababu gani za msingi za kuendelea na ndoa wakati upande mmoja haufurahii ndoa hiyo?? Tusitake kutafta makubwa zaidi...hawa watu watatuvurugia Tanganyika yetu...em tuwaache waende zao. Nachojua they`l never stand by them self. wanasiasa mmekua mkipaka paka rangi tu hamtoboi haya majipu...mimi ningekuunga mkono kama ungeweza kusimama siku moja ukasema naunga mkono zanzibar wawe na nchi yao na tanganyika irudi kuwa nchi moja.
 
Ndugu yangu Zitto , don't give up. Usibabaishwe na vizabizabina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…