Is Zitto Kabwe naive or a dangerous populist?

My Take
Matatizo ya muungano, hayajaanzia, na wala hayataweza kuishia kwa ishu ya Mafuta na vitu vingine kama hvo

Muungano wetu hauwezi kuwa justified or rather unjustified simply kwa kujua hati za muungano baba zetu kina Karume na Nyerere waliandika nini......

Muungano ulioifanya Tanzania, na ambao hadi leo unaifanya Tanzania is more than that, it more than a socio economic union, its emotional, cultural and traditio if yiu want to call it, sijui mnajua ni watanzania wangap wako interconnected na pande hizi mbili?, kwao wao Muungano or whatsoever doesnt count anything to them, Mfipa wa huku niliko, in this matter, Watanzania zaidi ya asilimia 90 kuwepo au kutokuwepo kwa muungano kwao si ishu.

Mtizamo wangu unabaki palepale, economic hardship ndizo ambazo zinatufikisha hapa, katika familia, mama kama alizoeshwa kupata kitenge kila mwez kipya, basi baba asipoleta mama lazima atasingizia cchhte kile, iwe nyumba ndogo, au wadogo wa mme wake (shemeji au mawifi) kuwa ndio wanao mpoteza mapenz kwa mke, bila kuangalia kuwa huenda kwa sasa baba hana tena safar ambazo zilimfanya awe anapata nights na ku serve vitenge, same applies, hali ngumu ya maisha ndiyo ambayo wooote inatufanya tufikie hapa, inawafanya wa znz wafikir matatizo yao ya kiuchum n matokeo ya kuuungana na tz, partly inaweza kua n sbb, lakin in a large extent inaweza kua si kwel. Ndicho ambacho tutakija kukiona siku tukiwa na East Africa Fedaration, trust me, hali ikija kua ngumu tutaona shida si uchumi wa dunia kuyumba, bali ni yule mkenya ambaye tuko naye oficn na ni kama vile ana 'kubania' ww ku make pesa.

From the security point of view, Znz is a LIABILITY kwa usalama wa taifa letu, same applies kwa usalama wao wenyewe,kama wauunguja na wapemba, kwa mznz ambaye ni visionary, kwa mtz ambaye ni visionary, they ARE MORE SAFE KUWA KTK MUUNGANO KULIKO KUWA NJE YA MUUNGANO, same applies kwa sisi as a nation. Ni somo pana, ni ngumu kulielewa kwa haraka.

Tukubali, hakuna muungano ambao umekuwa smooth, wenzangu ambao mmetembea zaidi mtatusaidia kwa hili, iwe ni kwa UK au sehemu zingine, point ya msingi ni kwa jinsi gan wameweza ku move on, ku settle tofaut zao bila ku jeopradize security ya nchi zao.

Mwisho, kama umeshawai fika znz, unguja na pemba, ukaona ni jinsia gan hawa jamaa wana mitizamo juu ya wao wenyewe (wapemba na waaunguja), ndio utagundua, tatizo is more serious, huenda si hati za muungano, huenda si hati za muungano, ni zaidi ya hilo, and this will be just a beginning (refer to Mwalimu Speech on Muungano), may be jamaa wale wa usalama can smelll and analyse this very rational.

Muungano kwa faida ya nani?, THINK BIG.....
!

C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.

Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:

Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
Mzee Mwanakijiji nashukuru kwa wewe kuliweka hili wazi ,watu wamekuwa na uoga wa kumwambia kamanda wetu.Stetements za Zitto hata kama zinashabihiana na mtazamo wa CDM,huwa mara nyingi anazitoa kuaminisha uma kuwa ni mitazamo yake binafsi.Mimi sina tatizo na mitazamo yake ila napata wasiwasi style ya uwasilishwaji/malengo yauwasilishaji kama Individual statement.Ikijulikana kwamba ni mtazamo wa CDM yeye atapungua nini! Kwanini Zitto kwanza sio CDM kwanza!

Coordination to achieve a desired effect is very important to any eligible politician.
 
Hapo kwenye red ndipo panagomba na Zitto anatakiwa atafute tiba yake haraka sana na kwa nguvu kubwa otherwise his political capital is not as strong as he would like to believe.

Statement yake angekuwa ametoa kwa niaba ya chama chake I am almost certain watu wangekuwa wanaongea vingine kabisa. But the statement imegeuka kuwa inquery about Zitto - why? Because people are reading every thing from this politician while holding his supposedly 'catalogue' of solo perfomances! And if you ask me hii hali imesababishwa na nini, ni kwa sababu Zitto like any aspiriring young politician amekuwa anarudia kosa lile lile la kutoa statement kwenye mambo muhimu kama yeye na kuwaacha critics wanahoji - why didnt you do it as a team?

Lakini pia, kwa mazingira ya siasa za Tanzania, kwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa kukaa chini na kutoa statement nyeti/muhimu ya kifaifa kama as private individual (na sio kama chama) is still new. Watu wamezoea kuona matamko rasmi ya chama zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Na wanaposikia anasema huu ni msimamo wangu binafsi it is even more troubling. Maybe with time itazoeleka lakini kwa sasa inaweza kuwa 'a self-distructive strategy'.

Zitto is increadibly talented and has a lot to offer and it will be a shame to see him constantly defending about this or that statement. Haya makosa yanaepukika.

Having said that Zitto, nasubiri kuona another round ya suluba kwa CCM kwenye bunge la budget. Uchumi mgogoro!
Mimi pia naamini hilo ,kamanda ana muda wa kutosha kurekebisha makosa. Yale ya msingi tunayomwambia ayachukue na yasio na manufaa kwa maana ya ushabiki ayaweke kapuni.
 
C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.

Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:

Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.
@Mzee Mwanakijiji Sijui kwanini umeamua kumsemea Zitto lakini mwenyewe amekiri kuwa hili ni lake binafsi kwenye utetezi wake (ndani ya uzi huu) amesema anaamini mafuta si suala la Muungano toka mwaka 2009, sasa wewe kuja na Ilani ya CDM ya mwaka 2010 sijui unamaana gani wakati ni dhahiri kuwa Zitto aliamini hilo kabla hata ya Ilani na ameendelea kulishikilia, Kwanini unafikiri yeye mwenyewe hajaamua kusema kuwa anatetea msimamo wa chama na kuamua kutuambia vinginevyo?
 
Once u decided to personally attack Zitto, ur thread lost all its credibility and for an academician as u claim to be, u should know better than I, the layman do
Whether Zitto is a populist or not, ur attacks diluted the issue and people diverted their attention to ur motives for introducing the thread
It appears you have a deep rooted dislike of him for reasons only known to u
We should all note that:
1. Zitto is a politician
2. All politians targets having a gud bright intelligent image to the society and Zitto is no exception
3. Currently Zitto appers to be among the very few who are managing that
4. If Zitto has any hidden agenda, he will soon be found out because people won't be blinded by false bravado forever and vice versa
5. Whether he mistimed his comments, the fact remains that this issue should have been buried long before now but for a few cowards who shunned facing it (oil and gas issue)
6. It's true that the Union needs a serious debate to ascertain its credibility to our generation and future one. Nyerere and Karume justified it during their time, we need to do the same for our time
7. When we differ opinions, character assassinatins (personal attacks) don't help us build up our cases/arguments
 
...What I want to raise today is the habitual stupid comments that Zitto Kabwe has been giving to public at every opportunity..
You have spoiled your whole argument with the timing issue....it now appears that you never researched as to when exactly Hon. Zitto made his statement(s). I nevertheless can see what you had in your mind......'habitual......'! You can come up again on this. But I tend to believe all politicians are opportunists!
 
Where is Kamanzi??How can you start the thread......and run away??here there is many question need to be answered by you!!if you're enough up stair come and reply them....!
 
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.

My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.

Zitto, if your statement was aired before the chaos in Zanzibar, do you agree with me that Statement of yours might be one of the source of the chaos we are facing in Zanzibar. I agree with the one who brought this thread that your becoming a very dangerous populist my brother. Try to weight down your statement before you release them out. I understand that you have the right to speech but you have to understand that you have thousands and thousands of folowers and they can believe in whatever your saying and the Oil issue can be one of them. Au ndiyo mgema akisifiwa.
 
Kuna umuhimu wa kulink kila kitu na dini? hivi ni nani aliewaroga enyi wadanganyika? mimi sijaona Zitto kama ana destruct chochote na wala sioni kama anajaribu kutetea usilamu popte pale. N sijaona kosa lolote la yeye kutolea maoni suala la mafuta, tena ingependeza zaidi kwa nyie wabara mkafurahi kuona suala hililikashughulikiwa na waznz wenyewe ili mueze kuona utofauti kama utakuepo. Nyie madini yenu hamna lolote mlofaidia zaidi ya kuwatajirisha wazungu. poleni na ugalatia wenu.
Mdini mkubwa wewe!
 
acha kuishi ndotoni na kutengeza dhana zisizokuepo:
kwanza, sina dini - sasa sijui naezaje kuwa mdini bila kuwa mfuasi wa dini za kikoloni? hilarious.
pili, siungi mkono kuvunjwa muungano, najua stability ya usalama visiwani inategemea sana kuwa na mkono wa magogoni, ukivunjika maafa yakuwa makubwa sana.
tatu, siungi mkono kuvunjwa nyumba za ibada zilizoruhusiwa kuapo kisheria
ni vema tukajikita kwene kauli ya Zitto kuhusu mafuta ya znz, ukijenga dhana zisokuepo basi uwe tayari wewe mwenyewe kuzitolea maelezo.
Huyu jamaa Abdulhalim nimefuatilia comments zake mara nyingi sana, ni mdini wa kupindukia.
 
What's wrong with Zitto?As a leader should be stand and walking through his words,that is leadership principle.We emancipate our self from mental slave none but our self can free our mind.What Zitto speaks is the bitterly truth which destroy air drum of those who think they have right to criticize everything
 
My statement is a long time beliefe that Oil and Gas at commercial level shall never be a Union issue. At upstream level it can be. I said this first time in 2009. I have repeated it several times. My statement was issued on Sunday morning. To anybody who is sane, clear in his mind and clever enough would know that this statement was written before the chaos in Zanzibar.

My statement is what i believe it should be. Oil and Gas as Diamonds and Gold and Tanzanite shall never be a Union matter. every part of the Union shall handle its own resource. You can call shallow or whatever name but it is my rightful position. I have the right to air my views. You have the right to contradict my view. A civil society is made of contradicting views and the best and the most clever prevail.

MKJJ hoja ya timing is not valid here, zito hakukosea timing!

C'mmon now, cut Zitto some slack; Zitto's position is in fact is he position of his party as it is articulated in their election platform of 2010. Alichokisema Zitto kwa kirefu ni msimamo na ahadi ya CDM kwa Watanzania.

Ilani yao (kifungu 11.1) inasema hivi:

Sasa, inaweza kujengwa hoja ya timing - kitu ambacho bila ya shaka Zitto huwa anajikuta matatani nacho mara kadhaa sasa. Lakini as a matter of substance hajajenga hoja ambayo ni kinyume na CDM na as a matter of fact ametetea tu msimamo wa chama chake. Kufikiria kuwa ni position yake binafsi siyo sawa hata kidogo.

nadhani unajenga hoja kuhusu matamko kuwa ni ya chama au ya zito! na sio timing kwenye timing zitto alikuwa sahihi na ni hoja ambayo haina mashiko sana

Hapo kwenye red ndipo panagomba na Zitto anatakiwa atafute tiba yake haraka sana na kwa nguvu kubwa otherwise his political capital is not as strong as he would like to believe.

Statement yake angekuwa ametoa kwa niaba ya chama chake I am almost certain watu wangekuwa wanaongea vingine kabisa. But the statement imegeuka kuwa inquery about Zitto - why? Because people are reading every thing from this politician while holding his supposedly 'catalogue' of solo perfomances! And if you ask me hii hali imesababishwa na nini, ni kwa sababu Zitto like any aspiriring young politician amekuwa anarudia kosa lile lile la kutoa statement kwenye mambo muhimu kama yeye na kuwaacha critics wanahoji - why didnt you do it as a team?

Lakini pia, kwa mazingira ya siasa za Tanzania, kwa kiongozi wa juu wa chama cha siasa kukaa chini na kutoa statement nyeti/muhimu ya kifaifa kama as private individual (na sio kama chama) is still new. Watu wamezoea kuona matamko rasmi ya chama zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Na wanaposikia anasema huu ni msimamo wangu binafsi it is even more troubling. Maybe with time itazoeleka lakini kwa sasa inaweza kuwa 'a self-distructive strategy'.

Zitto is increadibly talented and has a lot to offer and it will be a shame to see him constantly defending about this or that statement. Haya makosa yanaepukika.

Having said that Zitto, nasubiri kuona another round ya suluba kwa CCM kwenye bunge la budget. Uchumi mgogoro!
 
Huyu bwana kama ni mwalimu wako akikufundisha hutoboi. If he sees that you are a critical thinker, then kwishney
 
Kuna umuhimu wa kulink kila kitu na dini? hivi ni nani aliewaroga enyi wadanganyika? mimi sijaona Zitto kama ana destruct chochote na wala sioni kama anajaribu kutetea usilamu popte pale. N sijaona kosa lolote la yeye kutolea maoni suala la mafuta, tena ingependeza zaidi kwa nyie wabara mkafurahi kuona suala hililikashughulikiwa na waznz wenyewe ili mueze kuona utofauti kama utakuepo. Nyie madini yenu hamna lolote mlofaidia zaidi ya kuwatajirisha wazungu. poleni na ugalatia wenu.

ninyi watu mnaojiita waznzibari mnafurahisha sana,kwakushikilia huo mstari mmoja wa mtume paulo ktk Biblia.USHAURI WA BURE;malizieni kusomo vitabu vyote alivyoandika na kuyaelewa,mngalifanya hayo wala msingalifanya hayo mnayoyafanya sasa hivi huko zanziba.JAMBO LA KUZINGATIA;kumbukeni asili ya WAPEMBA NI MCHANGANYIKO WA UZAO WA WATU KUTOKA BARAS NA WAARABU KUTOKA ASIA,HIVYO BASI MUTAMBE YA KWAMBA HATA KABLA YA NINYI WAPEMBA KUWEPO HAPO ZANZIBAR WATU WA BARA TAYARI WALIUWA WAMESHAWEKA MAKAZI YAO HAPO VISIWANI(haihitaji phd kulielewa hiloo)
 
I DOUBT A LOT ABOUT DIS MAN
LOOK AFTER THIS
KWANZA; JAMAA ANA HISTORIA TOKA ALIPOKUWA CHUO PALE-UD YA KUPENDA KUONEKANA YEYE NDO YEYE NA HII NI HATARI SANA KTK SIASA YENYE KUJALI UMOJA (MBINAFSI NA MPENDA SIFA ZA KIJINGA-POPULAR POLITICAL CELEBRITY)
PILI; KUNA USWAHIBA WA KARIBU SANA KATI YA YEYE NA BABA RIT1 , HAFU ILI KUTHIBITISHA HILI JAMAA KILA JAMBO LINALOMHUSU MH. LAZIMA AMTETEE KUWA HATA HALI NGUMU YA MAISHA YA SASA SI KUMLAUM RAIS BALI WATENDAJ WAKE. HV KWELI INAINGIA AKILIN HII AU SIASA UCHWARA (kumbuka alikataa kuingia Bungeni kisa et asimdhalilishe Rais kwa Kutoka Nje!)
TATU ; JAMAA ANABP KUCHOKONOA KUHUSU KUGOMBEA URAIS 2015 HUKU AKIMSHAWISH SWAHIBA WAKE JK KUPITSHA SHERIA INAYORUHUSU KIJANA WA MIAKA 35 KUGOMBEA URAIS-BILA HATA KUFANYA MAKUBALIANO YA MSING NA CHAMA CHAKE
NNE; JAMAA ANANGANGANIA KUENDEKEZA SIASA ZA TAIFA MBELE CHAMA NYUMA KAMA KAULI MBIU YAKE KUMBE NI ILI TU KUFICHA AGENDA YA NDANI ALIYONAYO, HUKU AKI5TOFAUTIANA KIITIKADI AN CHAMA CHAKE-CHADEMA
NB. JAMAA YUPO CHADEMA KWA SABABU ALISOMESHWA MASTERS ZOTE KWA RUZUKU ZA CHAMA ILA SIDHANI KWAMBA NI MWENZETU HUYU.

basi zitto hamfikii nyerere kwa hizo sifa ulizoweka hapo, achilia mbali akina obama, na viongozi wengine wengi... ndio maana wanakua viongozi wewe na mimi tunakua nyuma yao, leaders lead from the front and not from behind
 
..Zitto was just itching kutumia hizo terminology "down stream" sijui "up stream" na mambo mengine mengi.

..kama mafuta siyo ya muungano basi kila upande ushughulikie suala hilo kuanzia kwenye kutafiti/kutafuta mpaka hatua ya mwisho ya kuyachimba/kusafisha/kusafirisha/kuuza etc etc.

..ikiwa itatulazimisha kutafuta au kuchimba mafuta katika eneo ambao tuna-share mpaka wa bahari basi tunapaswa kutumia maelekezo yanayobainishwa na sheria za kimataifa kuhusu matumizi ya rasilimali zilizoko baharini.

..hakuna haja ya kuwa na serikali 3 kwa namna yoyote ile. Zanzibar wanataka madaraka kamili ya kuamua mambo yao kiasi kwamba uwepo wa serikali ya muungano utakuwa unawanyima haki yao hiyo. vilevile kuanzisha mtindo wa muungano kama wa EU baina yetu na Zanzibar ni kujichanganya tu ukizingatia kwamba kuna jumuiya kama EAC na SADC ambazo tunaweza kuwa wanachama.
 
Dear Kamanzi!

Oh yes I am back to respond to the genius of the moment Zitto Kabwe. Zitto's response exposes him even further as a little boy with no clue of what he says. A lot of his blind followers have pointed to the fact that he claims he has been talking about the oil issue since 2009 as a mitigating factor to what he said recently. Let me use layman way of explaining it labda mtanielewa.

My major issue of concern was not what he said, but when he said it. Nikupe mfano. Let's say Zitto alikuwa ananidai pesa tangu mwaka 2009. Tuchukulie kwa mfano jumapili iliyopita mimi niwe nimefariki halafu Zitto aende kwa media kulalamika kuwa nimekufa na deni lake. Wakimuhoji kwanini alete suala la madeni wakati wa msiba Zitto atoe justification kuwa amekuwa akinidai kwa miaka mingi ila nikawa simlipi. He would look naive and insensitive, period.

Zitto anatoa hoja kuwa wakati anazungumzia suala la mafuta vurugu zilikuwa hazijaanza. Wrong response once again. Vinginevyo anakubali kuwa yeye ni sisimizi wa kisiasa kwa sababu, wiki moja kabla Zitto hajatoa kauli yake, kundi la UAMSHO lilishatoa tamko kali ambalo kama Zitto anaufahamu mzuri angetambua kuwa hali Zanzibar ni tete. Tena katika thread yangu hapo juu nika-suggest kwamba kwasababu Zitto, kijana muislamu hajafelishwa na baraza la mitihani kama moja ya tamko la UAMSHO linavyodai, basi arusi shule. In short, zaidi ya wiki kabla Zitto kutoa kauli yake na kujaza magazeti kwa *****, UAMSHO walishawasha moto Zanzibar kwa matamko yao kwaiyo kusema alishindwa ku-anticipate vurugu ni kujionyesha kuwa ni mwanasiasa mchanga bado.

Ukiweka hayo kando, kama Zitto ni mwanasiasa makini kama anavyodhani yupo, angetakiwa asome alama za nyakati. KWa wale wachambuzi wa mambo ya kisiasa watakubaliana nami kwamba hili kundi la UAMSHO halipo in vacuum. Indeed, pale KEnya, lipo kundi linaloitwa Muslim Republic Council (MRC) ambalo kama UAMSHO linapigania kuanzishwa Republic ya Pwani iliyo independent of Kenya. Of course matokeo yake imekuwa ni vuta nikuvute baina ya serikali na wao na wengi wamefungwa au kupoteza maisha as a result. Ukiangalia manifesto ya MRC imekopiwa yote na UAMSHO dai kuu likiwa, waislamu wamenyonywa vya kutosha na wakristu. It follows then, kwasababu UAMSHO ni nothing but a copy cat of MRC, Zitto alitakiwa kujua kuwa lipo vuguvugu la jumuiya za kiislamu katika East Africa kutaka kujitenga na wenzao. Kwa mantiki hiyo alipaswa kujua kuwa kauli yake kama kiongozi mwandamizi wa moja ya vyama vikuu Tanzania inaweza ku-fuel fujo hasa kwasababu hali ya mchanganyiko wa kisiasa na dini imekuwa tete hapa Africa mashariki na kati chini ya uongozi wa Alshabab. Sasa sipo kusema Alshabab ni terrorist group au la bali nasema, kama kiongozi mwandamizi, Zitto Kabwa anatakiwa kujua si tu WHAT TO SAY but also WHEN AND HOW TO SAY IT. Ndo maana japo mimi sina chama, siku zote nitamuona Januari Makamba kama mwanasiasa mahiri kijana kuliko hawa akina Zitto. Na simzungumzii Zitto eti kwakuwa ni muislamu, la hasha. Hata tamko alilotoa Nassari juu ya kanda ya Kskazini kujitoa Tanzania wakati kumekuwa na vuguvugu kubwa la kisiasa Arusha mpaka watu wamepoteza maisha ni utoto wa kisiasa. KWa maana hiyo basi Zitto na NAssari inabidi wafikiri kabla ya kuongea. La mnataka kuwa intellectuals, njooni UD tuwape elimu mukichwa.

Naomba kuwasilisha.
 
Ziku zote watu walikuwa wanamkandia huyu nilikuwa naona kama vile wanamwonea. Now i know ni kichwa maji.
 
Poor Kamanzi.... I'm just trying to imagine if you and Zitto Kabwe sit down together, who will have to teach the other.
Umejaa chuki, hadi unatia uvivu kujibiwa. Anyways, endelea kutafuta sifa kwa kupitia mgongo wa Zitto labda na wewe utafanikiwa kuwa "populist"
 
Back
Top Bottom