Is your partner down to earth or drama queen

hapa sasa ungonini huwa tunasema ZIKONGINI! FP dada mkubwa wapi wewe !af umeadimika siku mbili hizi!hebu kuja huku utoe ufafanuzi jadidi!
 
Last edited by a moderator:
Nina one million nahitaj kufanya biashara yenye faida nzur,,naweza fanya biashara gan wadau.....

Kuchukua kuku wa kienyeji kutoka bush na kuwaleta Dar kuwauza.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nina one million nahitaj kufanya biashara yenye faida nzur,,naweza fanya biashara gan wadau.....

Mi naogopa sana post za kurushwa usiku wa manane,warushaji wengine ujue huwa ndo kwanza wametua na ungo,sasa jamani hii post na mada husika wapi na wapi?
 
Mimi naziogopa sana post za asubuhi kwasababu muda huo ndo anakuwa katua halafu ndo anausingizi balaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi naziogopa sana post za asubuhi kwasababu muda huo ndo anakuwa katua halafu ndo anausingizi balaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Za asubuhi hua hazina mashaka! Hapo Bishanga anakua ndiyo kashuka toka Mornin Glory! Then ndo anashushia kwa Jf !
 
Last edited by a moderator:
hapa sasa ungonini huwa tunasema ZIKONGINI! FP dada mkubwa wapi wewe !af umeadimika siku mbili hizi!hebu kuja huku utoe ufafanuzi jadidi!
he heeeeee, weekend hiyo mlongo wangu, si unajua tena mambo ya TEJA?
kweli hapo zikongini....... mimi bwana wangu kinaeleweka, siwezi sema zaidi, lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom