BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,078
Hey! The gal with em' lips.... Nimefurahije kukuona? lol
salamu nilipata BJ bado feed back tu Dearest....
B2T washtuka nini mrembo? lol Alafu uje uongeze ujuzi hapa bana!
Mimi nimezoeana sana na shemeji yangu (yaani mke wa binamu yangu), ila kuhusu tendo takatifu hatujawahi zungumzia kabisa na huwa halina nafasi katikati yetu. Wakati mwingine kama nipo bar na binamu yangu au sehemu yoyote ile na mkewe akasikia kwamba tupo wote, basi anakuwa hana wasiwasi akiamini kwamba yupo mahali salama. Na ikitokea kwamba wamekuja wote wawili, basi shemeji ataongea sana na mimi. Sisi tunaishi vizuri tu, tena hamna tatizo lolote. Na wakati mwingine kama binamu yangu anataka kwenda sehemu, anaweza akatumia kigezo kwamba ataenda na mimi ili asihojiwe sana. Sasa AshaDii Kama hilo ni tatizo labda unieleweshe vizuri.
Kwa staili hiyo inakubalika kwan kila mtu atakuwa na mtu wa kumkeep bize mwenzie lol,
Inabidi ufanye huo mapngo mapema kabla Tiqo hajabadili mawzo kwan naona km muoga flan hivi au kakata tamaa!
nina shemeji yangu huwa hata nikitumwa na dada yangu ofisini kwake huwa ananitambulisha kama mke wake then sbb watu wanamjua dadangu hapo ofisini akiona wanasura yakujiuliza how come ndio anasema huyu ni mke wangu mdogo mdogo wa mke wangu,kuna siku alimwambia sista kuwa ikitokea sista akifa basi kama mm nitakubali angenioa mm,pia dadangu akikosea anamwambia ingekua ni mdogo wako "cheusie" asingeweza kumfanyia hivi mpenzi wake,mm huyu shemeji yangu sipendi mazoea naye sbb nashindwa kabisa kumzoea kwa jinsi ninavyomuheshimu lkn amin usiamin kuna kipindi dadangu nilimuona kama anatuchunguza fulani hivi lkn namshukuru mungu mungu amedumisha aman mm na dadangu hadi leo ni marafiki wakubwa siri yake siri yangu siri yangu siri yake.
ila naona kama ndugu wakuogopa zaidi ni wale ndugu msiozaliwa nao tumbo moja wale mabinamu hawa mi naona kama ni wa hatari zaidi kuliko ndugu mlioshare tumbo japo ndugu mama mmoja baba mmoja nao wanaweza kukutenda sana tu ukabaki kimya wazi.
Dah!sisy bwana,asa hata sijui huyo Tiqo mwenyewe ni me/ke,Umeona eeeh? lol... Unarafiki ambae atamfaa Tiqo.... take note inatakia alokata tamaa ya Mapenzi pia.... Yaani nae hataki kabisa! lol... Wakikutana wapongezane kwa kutoingia mkumbo then eventually wajikute kweny mkumbo!
Mie pia mumie, nafurahi daima kusoma emails zako...powa ntasubiria feedback, halafu nina swali kubwa la kukuongezea juu yake..
Nashtuka kwa vile mazoea kama hayo inabidi tuwe waangalifu..mimi sipendi kuzoeana na mashemeji zangu kupita maelezo au mtu wangu awe na mazoea ya kupitiliza na mtu..halafu ajifanye anamjua nje ndani!..
Ila najiamini..mie ni wake na yeye ni wangu, vurugu vurugu za wagombea wenza hazikosekani..sema wanakuwaga na mwisho!
nadhani kuna ugonjwa wa kutamani cha mwenzako na sisi tunajitakia,unaelezea utamu wa mpenzi wako kwa wenzio ili nini bana?ndo maana mie nishageneralise kuwa "wanawake hawathamini urafiki"
najua siko sawa, lakini kuna vitu vingine unaona anafanyiwa mtu hadi unabaki mdomo wazi.
Niliwahi kuwa na roomate, alikuwa anamtaka partner wa rafiki yake kwa udi na uvumba
anamtega makusudi, eti kisa yule rafiki yake anajidai
walimuundia kundi la kumwangusha huyop dada
bahati yake akahama ndio ikawa pona yake.
Me ndio maana sipendi shobo za marafiki na ndugu,haya ndio matatizo yake,ni ukweli mtupu....shemeji ananogaaaaaa.....ah...hapana kwakweli,ntamtoa mtu roho....
MBONA FACEBOOK WATU WANATONGOZA SAAANA:focus:
Hey AJ....lol... I do not believe you really wanna apply this!! Hio technique ya kukaa kwa mbali... that I love for it is the easiest to do... the hardest to bare! Imagine unatambua there is sort of something... nini utafanya? Hebu basi using your human intelligence tell me what you as a man will do?
Ndo maana mie nishageneralise kuwa "wanawake hawathamini urafiki"
Najua siko sawa, lakini kuna vitu vingine unaona anafanyiwa mtu hadi unabaki mdomo wazi.
Niliwahi kuwa na roomate, alikuwa anamtaka partner wa rafiki yake kwa udi na uvumba
Anamtega makusudi, eti kisa yule rafiki yake anajidai
Walimuundia kundi la kumwangusha huyop dada
Bahati yake akahama ndio ikawa pona yake.
Kama kuna kitu sitokaa nifanye ni kutembea na mume wa mtu ,awe rafiki jirani yaani yeyote vitu used kwa kweli sipendi
nadhani kuna ugonjwa wa kutamani cha mwenzako na sisi tunajitakia,unaelezea utamu wa mpenzi wako kwa wenzio ili nini bana?