Is Vodacom, Caspian facilitating mauaji?

Jamani nimeshitusha na habari zilizoko kwenye gazeti la Mwanahalisi la leo kuwa wauaji watarajiwa wa Dr Mwakyembe walisafirishwa na magari ya polisi, Vodacom, Caspian na serikali???

Jamani ina maana Vodacom wanatumiwa kuhujumu usalama wa taifa??? Je JK anasemaje kuhusu tuhuma hizi nzito za waziri wake, je huyu waziri kweli anaweza kufanya kazi yake kwa ufanisi katika mazingira haya ya hofu?

Naomba wasije wakanikong'oli na mimi kwa umbeya huu... lakini wakifanya hivyo Mungu wa Ibrahim ninayemwamini atawaadhibu kwa pigo ambalo hawatalisahau

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika

Imani yako itakulinda, Usiogope!
 
Heshima kwako MzeePunch,

Mkuu jeshi letu la polisi lilishaoza siku nyingi ukitaka kuthibitisha soma taarifa ya mauaji ya waandamanaji mjini Arusha.Hawana lolote kazi yao kuwapigia salute mafisadi.



Heshima kwako Majimshindo,

Dr H Mwakyembe alishapata umaarufu siku nyingi tangu enzi akiwa board member NBC na baadaye kamati teule ya kale kaulaji RICHMOND.Vipi kweli wewe upo Tanzania au umetumwa kuchafua hali ya hewa. nenda kwenye jukwaa lako la dini hapa hapakufai.






Haswaa polisi walishajivunjia heshima siku nyingi.




Yamkini wewe ndiyo unaogopa kivuli chako.



Hakuna kitu kama hicho sasa hivi polisi wanapanga mkakati wa kupindisha hoja na kudanganya wananchi.



Mkuu umafia upo Tanzania siku nyingi unajua tena serekali ya mkwere !!!!!!.



Mkuu tuko pamoja nilishatupilia mbali kaline ka voda

Wengi hapo ni Mamluki kaka, But safi coz umewapa wanachostaili
 
Inavyoonesha jamaa anajitafutia umaarufu tu, sioni sababu ya wauwaji kupanda magari yote hayo< kwenda kwa mganga wa tunguli, wamfate Dodoma.

Hivi huyu jamaa naona ana ma-"hallucination". Wauaji hasa wa maana, mpaka Al Shabab, wafanye yote hayo aliyoyaandika? upuuzi usio niingia akilini.

Anahitaji maombi.

Ama kweli majimshindo bado uko mbali, umaarufu wa Mwakyembe sio kupitia taarifa hizi, tayari ni marufu kwa wapenda maendeleo na wanamageuzi Tanzania...
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG



IMG_6995.JPG


IMG_6926.JPG


IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg



DSC_0522.JPG
 
Yaani huyu RA ni powerful na hizi issue za ku-clear watu wanao bring threat kwake sio issue...na hakuanza leo....Vodacom in very very powerful,the most influencial na ndio kampuni inayo perform yaani vizuri sana financially nikiwa nimesimama kwenye upande wa wanyonyaji(investors yaani akina Caspian).RA ana direct power ya kuamrisha virtually karibu chochote ndani ya Voda,any official wa Voda anaweza kuitwa Oysterbay nyumbani kwa RA na kuanza kujieleza....kwa upande wa political power yaani ndio jamaa mwake....sasa operation hii wameifanya kijinga na approach waliyotumia akina RA if at all ndio muhusika ni upuuzi mtupu..wala hajatumia mbinu za kimafia kabisa...yaani kote kaacha trails za magari ambayo yanamuhusu direct....bado hajui covering techniques za ukweli.....au aidha ni other people waliotumia identities linked to RA ili wamlengeshee ili wao wapate cover...truth ni issue sana kuipata at this stage kwakweli...
 
Back
Top Bottom