Is Tundu Lissu a Moderate?

Is Tundu Lissu a Moderate?

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,832
Reaction score
6,461
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
 
Lissu ni muumini Mzuri wa utawala wa sheria...na ndicho anachokisimamia leo na hata milele.
Mkuu,Lissu ni Mwanasheria ila hilo la kuwa muumini wa utawala wa sheria linahitaji mjadala kidogo.Binafsi naona kama vile Lissu sasa maekuwa ama ni moderate au hana uhakika iwapo anautaka URAIS kweli.

Afahamu kwamba watu wanaweza kumpa KURA na kama hayuko tayari itakuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu
 
Hayo sasa ya kwako...nimekwambia Lissu ni muumini mzuri mno wa utawala wa Sheria...na hayo mahasibu aliyoyapata ni kutokana na kupigania utawala wa sheria katika nchi yake!!

Huwezi kutawala nchi kwa sheria zako mwenyewe hapana bali ni kwa sheria zitokanazo na KATIBA ya nchi husika na hili ndiyo lililomponza hadi kufikia hatua ya kiafya aliyonayo sasa.
 
Mkuu,Lissu ni Mwanasheria ila hilo la kuwa muumini wa utawala wa sheria linahitaji mjadala kidogo.Binafsi naona kama vile Lissu sasa maekuwa ama ni moderate au hana uhakika iwapo anautaka URAIS kweli.

Afahamu kwamba watu wanaweza kumpa KURA na kama hayuko tayari itakuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu
"Moderate" maana yake ni nini?

Kuwa "moderate" kwa Tundu Lissu ni kitu kibaya au kizuri?

Kwanini?
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
The Root cause ya kupigwa Risasi ni kutokana he was a Chief Whip to the 5th term government.
 
This election belongs to him. Because pathetic fools who planned to end his life in 2017 knew that he had a strategic counter attack plan since 2016 to run the 2020 election for presidential seat.
 
"Moderate" maana yake ni nini?

Kuwa "moderate" kwa Tundu Lissu ni kitu kibaya au kizuri?

Kwanini?
Nimechokoza mjadala ili tujadili inawezekana ni hofu yangu tu ila nafikiri ni sahihi kuhoji uelekeo wake wa kisiasa isije kuwa kesha hama kambi
 
"Moderate" maana yake ni nini?

Kuwa "moderate" kwa Tundu Lissu ni kitu kibaya au kizuri?

Kwanini?
Nimechokoza mjadala ili tujadili inawezekana ni hofu yangu tu ila nafikiri ni sahihi kuhoji uelekeo wake wa kisiasa isije kuwa kesha hama kambi
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
Hivi kama Magufuli kaweza kuwa Rais ni nani mwingine atashindwa ?
 
Ulichoandika hakihusiani na headline yako na Nina wasiwasi kama umeelewa vema hiyo english interview...
 
Lissu ni muumini Mzuri wa utawala wa sheria...na ndicho anachokisimamia leo na milele.

Ni kiongozi mzuri na watanzania wanamkubali....
Kwahiyo utawala wa sheria ndo utatuondoa kwenye umaskini.
 
Back
Top Bottom