Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

Kwa hyo time travelling haimuathiri msafiriji lakini inawaathiri wale wanaomzunguka peke yake?
 
Mkuu theory ya time-travelling inawezekana kuwa impossible. Kwasababu In reality tuchukulie muda huu glass imekudondoka na halafu ikavunjika sasa tufanye unataka kurukdi kwenye past kwa sekunde karibuni 20 hemu niambie inawezekanaje kuishuhudia glass hiyo ikiwa haijavunjika. Na defintion ya past ni kitendo ambacho kimeshakamilika. So how do time rewind the action. Ama kwa nadharia inawezekana kwa mfano kila unachokiona mbele yako kinamurikwa na macho halafu kinafasiriwa na ubongo baadae hifadhiwa katika memori kama electronic pulses, sasa kinadharia kama itatokezea brain ku rewind electronic pulses unaweza kuona kabisa machoni mbele yako kitendo kilichopita lakini sio halisi bali itakuwa illusion inayotengenezwa na ubongo kwa hiyo katika travelling hii habari ya past it is impossible.Lakini habari ya future huenda ikawa inawezekana lakini kwa sharti mbili ima uwe unconscious muda ukupite halafu uje uwe conscious after period of time then utakuwa upo katika future while katika the same age au utoke dunia uende kwenye sayari nyengine ambayo inazunguka taratibu zaidi kuliko dunia then ukirudi hapa utakuwa upo kwenye future at the same age. Lakini pasi na hapo aiseee time-travelling theory is near impossible
 
Najaribu kuifikiria hii kitu lkn siielewi elewi kabisa
 
hapo sasa mkuu nimekuelewa vzuri..

ila bado hata ukienda nje ya sayari ya dunia mfano tuchukulie upo uranus huko ambako ni far away from the earth kwa maana kule mwaka mmoja wake huwenda hapa duniani ni miaka mi3.

kwa hyo labda umetoka duniani mwaka 2010 ukaenda kukaa uranus ukarudi baada ya mwaka mmoja yaani ukakaa kule mwaka mmoja manake ukija duniani utakuta ni mwaka 2013 wakati uranusi ni mwaka 2011.
ila hapa ukija duniani utasameje umesafiri katika mda wakati muda uko vile vile na wakati ni ule ule...

mi ninavyohisi ili uwe uko mbele ya muda ni labda uwe upo sehemu ambayo labda ajali ilidhatokea kisha wewe ukawa ulishaona hilo tukio kweli limetokeA kabla ya hapo kidha baadae sasa ukawa unajua kipi kitakuja kutokea juu ya ajali.hyo nadhani inaweza kuwa time travelling..
 
Huwez safir kwenye mda kwani ukirudi nyuma yan Past ur present will be past na ur past will be present.. Nahisi mmenielewa..pia ukienda future now will be past theni ukarudi now ur future will be past na wakati unajaribu kuja present itaonekana ndo ur future....Hey mwanadam punguza upuuzi kuwaza nothing en nonsense... Kama kutravel kwa mda inawezekana tambua hakutakua na maisha tena kwani hakutokua na jana wala leo na mtu hatokua kwani utakua vip wakat unaweza rudi utoto...m
 
Mkuu hemu fikiria hadithi hii km inakutokezea wewe. Kwa mfano wewe uko na marafiki zako, nyote muko na umri mmoja vijana munacheka wote. Moja miongoni mwa masiku mukapata ujio wa mgeni katika mtaa wenu mwisho wake na yule mgeni pia akawa rafiki yako sana lakini pia akawa ni rafiki wa washkaji zako yaani nyote mukawa marafiki. Halafu yule mgeni ikafika muda wake wa kuondoka akakuambia tuende wote nyumbani halafu nitakurudisha nawe ukakubali ukawaaga washikaji kitaani kuenda safari hiyo halafu ukaawambia mimi naondoka ila nitarudi baada ya wiki moja. Kweli ukaenda safri yako na mwenyeji wako kule ulikoenda ukakuta mazingira yenye kuridhisha ikafika hadi hauhitaji kurudi lkn ikawa muda umeisha na unahitajika urudi nyumbani yule mwenyeji wako akakusindikza karibu na nyumbani na ukarejea salama nyumbani. Lakini kwa maajabu kabisa ukakuta mtaani pako pamebadilika mno sivyo palivyokuwa awali. Ukaenda nyumbani kwa mmoja wa washikaji zako lkn ikawa mazingira yamebadilika sana ile kumbukumbu ya mbali ndio unakumbuka. Ukahodisha ukakikuta kibabu kikongwe halafu ukamuuliza fulani hapanimemkuta, yule mzee akakwambia niambie majina yake kamili baada ya kusema kwa majina yake kamili akakujibu ya kuwa huyo unaemtafuta mimi ni babu yangu. Kama wewe hapo utahisi vipi ? Wakati uliachana na washikaji zako siku saba tu zilizopita halafu leo unaambiwa huyo unaemtafuta hayupo na sasa ana mjukuu kikongwe ambae wewe ni kama babu yako inakuwaje hapo?
Jee kiakili na mwili haukusafiri?


Wanasema kusafiri kwenye muda inakuwa haathiriki anaesafiri ila huathirika anavyoviacha katika muda.
 

That why i said ni impossible...nitafute nikiaa huru ntakuelezea nAdhalia na kwa vitendo
 
mkuu nimeuelewa mfano. ila didhani kama nimeuelewa. kwa sababu ili mtu asafiri ni lazima uache mazingira yako ya kawaida na kwenda mbali na kwako.

sasa tukija kwenye time travelling manake uwe umesafiri na kuuacha muda wako wa
That why i said ni impossible...nitafute nikiaa huru ntakuelezea nAdhalia na kwa vitendo
mimi naona kuwa mtu akiwa amekaa labda wiki alafu akarudi kwao akakuta wenzei wamezeeka basi nafkiria hao waliozeeka ndo wamefanya time travelling kwasababu ni kweli wakati wa future yao watakuwa na watakuja kuzeeka.

hvyo huwenda huyo anaejiona amefanya time travelling ndo akawa anaishi kweli ila wale wenzie ndo wamesafiri na kwenda mbele na muda.
 
Ndio maana walimu huwa wanakuwa na fimbo.
 
Time travel is interesting, but it has logical flaw,
kutokana na principal ya cause and causality , universe haiwez kukuruhusu kwenda back maana itakuwaje endapo itaenda back in time afu umzuie baba yako kukutana na mama yako?? It is illigical
 
Uko sahihi sana mwanangu

Watu wana mix dini na sayansi

Nshachoka kuongea humu !
 
Uko sahihi sana mwanangu

Watu wana mix dini na sayansi

Nshachoka kuongea humu !
Ubay wa dini sheria zake unataka amini! hutaki unapata dhambi(motoni) hakunaga kabisa explanation kitu ambacho kwenye syansi ni opposite huku unatakiwa uwe na hoja na prove sasa walio wengi mambo ya physics wana refer na misaafu na Bible ...lazima mambo yasiende yani..
 
Time travel is interesting, but it has logical flaw,
kutokana na principal ya cause and causality , universe haiwez kukuruhusu kwenda back maana itakuwaje endapo itaenda back in time afu umzuie baba yako kukutana na mama yako?? It is illigical
When you taravel past you action doesn't affect present / future cos you will be there as observer you only experience light flashback
 
Causality is not fundamentally necessary.

It may seem so, that causality is funamentally necessary, at the larger scale.

Positrons actually do travel backwards in time.

Check out "Now: The Physics of Time" by Richard A Mueller.
 
we jamaa... as if nimekuelewa kitu hivii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…