Is this true????????

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
557137_283924948379582_1518508795_n.jpg call summary hiyo hapo!!!
 
Hizo girl to boy missed calls, huyo dada alibip!
Afu mvulana anapigia simu babake kuliko mama?
Ila hiyo ni boys level, wanaume wanakuwa tafauti kabisaaa.
 
Kote ni sawa kasoro hiyo ya mwisho badala ya 2missed cals ni 20missed call nadhani imesahaulika sifuri.
 
Kijana hiyo sumary ya girl to girl ni kubwa pia,maana siku hizi na wapenzi,na wanapenda sana kupeana umbea,hata boy to boy nayo ni kubwa maana na wao ni wapenzi.
 
Back
Top Bottom