Msee Lekasio
Member
- Mar 25, 2010
- 73
- 8
Mungu bwana wa majeshi na aufenye uwe ndio mwisho wako kwa usaliti unaowafanyia wanyonge wasiojua kujitetea.Kma ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
KJila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mmara ooh Saa nane kamuanika Zito
Mara ooh Zito msaliti
Mara ooh Sshibuda anadhamini wasaliti
Mara ooih CCM wanaingiza mapandikizi,
Mara ooh juliana kafanya vilee
Mara ooh sijui nani kafanya vile, yaani imekuwa kero sasa kwani kila siku sasa ukiingia jamii forums au kusoma magazeti hukosi vichwa vya habari vya chadema wakinyoosheana vidole na kutimuana kama kuku bila kufuata katiba wanayodai kuwa ndiyo ya kidemokrasia.
Hiki chama mie nimeanza kukitilia mashaka kuwa kinaweza kuja kuleta maafa kwa nchi yetu kwani wao hawahubiri amani bali wanaeneza machafuko kama vile uamsho tu hakuna tofauti yoyote.
Hebu fikiria suala la gesi watu na akili zao wanashinikiza maandamano gesi ibakli mtwara. haya yangesemwa huko zenji ingekuwa balaa hapa. huu si uchonganishi huu, unaposhinikiza hayo maandamano hujui sie wahehe, wanyakyusa, wakurya, waha, wafipa, wahaya, wachaga nk pia tunahitaji kuona faida ya hiyo gesi.
Uliwahisikia wasukuma wakiandamana kudai mapato ya dhahabu na almasi au minofu yawe kwa ajili ya mwanza tu?
Au uliwahi sikia umeme unaotengenezwa mtera wahehe na wagogo wakasema ubaki iringa na dodoma tu taifa libaki kiza?
What about gesi itakayopatikana lake rukwa? lake tanganyika? selous?
Chadema mie kwa sasa nawafananisha na Kundi la mbwa mwitu waliokosa mawindo kwani wana hasira kali na matokeo yake wamepoteza muelekeo wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe
Mkuu Chilisosi kwa kuweka picha hii ulikuwa unakusudia kutuma ujumbe gani?
Punde Halima Mdee na Josephina utasikia wametupiana maneno.Sasa havi katiba hawaifuati hati bavicha wanamfuka mtu uanachama.Chezea mtumwa Heche
Mkuu LiverpoolFC Sisi tumejipanga vizuri,propaganda zao haziwezi kudhoofisha chama chetu!Mkubwa,,, TUKUTUKU;; Mi kwa mtazomo wangu huyu hajui asemalo................sijui anafikiri raia wako karne ile ajuayo Mi nahisi atakuwa anapewa cha bure leo weekend na mafisadi............atashangaa na roho yake 2015,,,,,!!!
What is your point? Je wewe unasemaje? Je CDM inaweza kuisha kwa hisia za watu? Je umetumwa na Zitto au umejituma? Hizo ohoo ulizikia lini na wapi? What next then and there? Je nayo matusi na mifananisho ya ajabu ni sehemu ya sera zenu? Je fisi anaweza kumcheka fisi mwenzake?
Kama ilivyokuwa kwa NCCR mageuzi baada ya uchaguzi wa 1995 chama kinachojiita cha demokrasia chadema kimekumbwa na migogoro isiyokwisha
Kila kukicha hapa utasikia ngumi zimezuka kona fulani
Mara ooh Saa nane kamuanika Zito