Waache wafu wazike wafu wenzao pia mbwa na mbwa wenzao. Wazungu sijui wana nini na huyu jamaa! Maana wanamthamini kuliko hata mbuzi. Anyway, kila mtu na mila zake.
Real Kampani.
Huku Ughaibhuni ni kitu cha kawaida kabisa.
huyo ni HOMELESS,
Mbwa ni member wa Family.
Hapo ni Winter kali,
Mbwa anaminsulate na kummpa joto jamaa,
naye anampa joto mbwa wanashare Balanketi.
Mtu kama huyu unakuta ameshakata mawasiliano na familia yake na hata hawajui yuko wapi,alichobakiza ni mbwa wake na mabangi,na hata uwezo wa kulipia nyumba hana ikifika winta ndio anadaidiwa joto na huyo dogi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.