Is this real?

Is this real?

Huu mwandiko kama naufananisha na mtu nayemfahamu.

Ngoja nimwite rais wa wabeba box komredi Nyani Ngabu isije ikawa yeye ndo kadondokewa au mmoja wa raia zake.

Hapana Komredi, haiwezekani kabisa ikawa ni mimi.

Kwa nini haiwezekani? Kwa sababu kwanza huwa sina mazoea ya kuandikiana PMs na watu. Huwa inapita hata miezi sijaandika wala kupata PM toka kwa mtu.

Pili, hata namba yangu ya simu huwa sitoi. Kama nimewahi kutoa basi tokea nijiunge haiwezi kuzidi mara tatu. Na nipo hapa tokea 2006.

Tatu, sina kabisa hiyo Whatsapp na kusema ukweli hata sijui inafananaje. Mwaka jana niliwahi kuonyeshwa jinsi ilivyo lakini nimeshaisahau kabisa. Hata ukinionyesha screenshot yake sasa hivi na maneno 'whatsapp' yasipokuwepo sitaweza kabisa kuitambua.

Nne, ni kweli ninaishi na kupiga boksi mbele, lakini I put it on my late father and on my daughter that it is not me. It is someone else that's being talked about.

Tano, ni kweli at least mara moja kwa mwaka (wakati mwingine zaidi hata ya mara moja) huwa nachukua vacation na kuja Tanzania, but I swear upon everything that whoever is being talked about is definitely not me.
 
Halafu huyu mtu namshtukia

Amejiunga jana ameanza kuwasiliana na huyo jamaa lini?

Mara nyingi sana ID za watu wanaoleta hapa hizi story huwa ni wale wapya

Kwanini?

Au ndio kutafuta "umaarufu"?

ni kwamba ID ya zamani inakuwa na matukiiio mengi sasa mfano wiki iliyopita nimeweka thread nimeachwa:leo nije na mada ya jamaa mwingine MTANIONAJE?
bora nibadili ID
 
Hapana Komredi, haiwezekani kabisa ikawa ni mimi.

Kwa nini haiwezekani? Kwa sababu kwanza huwa sina mazoea ya kuandikiana PMs na watu. Huwa inapita hata miezi sijaandika wala kupata PM toka kwa mtu.

Pili, hata namba yangu ya simu huwa sitoi. Kama nimewahi kutoa basi tokea nijiunge haiwezi kuzidi mara tatu. Na nipo hapa tokea 2006.

Tatu, sina kabisa hiyo Whatsapp na kusema ukweli hata sijui inafananaje. Mwaka jana niliwahi kuonyeshwa jinsi ilivyo lakini nimeshaisahau kabisa. Hata ukinionyesha screenshot yake sasa hivi na maneno 'whatsapp' yasipokuwepo sitaweza kabisa kuitambua.

Nne, ni kweli ninaishi na kupiga boksi mbele, lakini I put it on my late father and on my daughter that it is not me. It is someone else that's being talked about.

Tano, ni kweli at least mara moja kwa mwaka (wakati mwingine zaidi hata ya mara moja) huwa nachukua vacation na kuja Tanzania, but I swear upon everything that whoever is being talked about is definitely not me.

Hahahahaaa! Nyani Ngabu umenifanya nicheke sana. You've proven beyond any reasonable doubt that it is not you and i confirm that it is NOT you who's the topic of the subject here. Pole kaka ila some people's imagination are over active.
 
Girl I tell you, if somehow you don't come out swinging in denial some would really start believing it's you who's being talked about.

But that's the most one can do - say it's not me. After that if they still think or believe it's you, then that's on them.

But then again I kinda know how these things work. So I wouldn't really put it past anyone to think that somehow someway me and you have hatched up a scheme to deceive people.

I'm just glad you came out and categorically made it clear that it is not me. Because, as a wise man once said, a lie gets halfway around the world before truth has a chance to put its pants on.

So thank you, kindly.
 
Hapana Komredi, haiwezekani kabisa ikawa ni mimi.

Kwa nini haiwezekani? Kwa sabaibu kwanza huwa sina mazoea ya kuandikiana PMs na watu. Huwa inapita hata miezi sijaandika wala kupata PM toka kwa mtu.

Pili, hata namba yangu ya simu huwa sitoi. Kama nimewahi kutoa basi tokea nijiunge haiwezi kuzidi mara tatu. Na nipo hapa tokea 2006.

Tatu, sina kabisa hiyo Whatsapp na kusema ukweli hata sijui inafananaje. Mwaka jana niliwahi kuonyeshwa jinsi ilivyo lakini nimeshaisahau kabisa. Hata ukinionyesha screenshot yake sasa hivi na maneno 'whatsapp' yasipokuwepo sitaweza kabisa kuitambua.

Nne, ni kweli ninaishi na kupiga boksi mbele, lakini I put it on my late father and on my daughter that it is not me. It is someone else that's being talked about.

Tano, ni kweli at least mara moja kwa mwaka (wakati mwingine zaidi hata ya mara moja) huwa nachukua vacation na kuja Tanzania, but I swear upon everything that whoever is being talked about is definitely not me.

NN mbona kama umekanusha sana?
 
NN mbona kama umekanusha sana?

Kukanusha ni muhimu. Sasa kama ukiona au kudhani kuwa nimekanusha sana ndo ujue kuwa hakika si mimi ninayeongelewa maana kuna sababu nyingi zinazoonyesha na kuelezea kuwa si mimi.
 
ndugu story yako inanikumbusha jirani yangu nae alidanganywa hivihivi kwamba jamaa alijifanya ni black america kaja siku moja anajidai katoka ulaya kumbe jamaa katoka tukuyu mbeya kala mzigo wee kama wiki ivi kampachika na mimba juu baada ya hapo jamaa kasepa dada wawatu kasubiri na yeye aitwe ulaya kumbe daah
 
Umbuje Kaizer,unatafutwa na hommie wako!!!
Ennie umbuje..nimesema nawe wazi wazinya kwamba mimi leo bana...bia hapana...siko poa umbuje....halafu tena hommie wangu anantafuta nimsaidie msalaba wake...
 
Last edited by a moderator:
ndugu story yako inanikumbusha jirani yangu nae alidanganywa hivihivi kwamba jamaa alijifanya ni black america kaja siku moja anajidai katoka ulaya kumbe jamaa katoka tukuyu mbeya kala mzigo wee kama wiki ivi kampachika na mimba juu baada ya hapo jamaa kasepa dada wawatu kasubiri na yeye aitwe ulaya kumbe daah

Huyu bado "hajadanganyea hivi hivi" mwantui ujue...
 
Last edited by a moderator:
Hapana Komredi, haiwezekani kabisa ikawa ni mimi.

Kwa nini haiwezekani? Kwa sababu kwanza huwa sina mazoea ya kuandikiana PMs na watu. Huwa inapita hata miezi sijaandika wala kupata PM toka kwa mtu.

Pili, hata namba yangu ya simu huwa sitoi. Kama nimewahi kutoa basi tokea nijiunge haiwezi kuzidi mara tatu. Na nipo hapa tokea 2006.

Tatu, sina kabisa hiyo Whatsapp na kusema ukweli hata sijui inafananaje. Mwaka jana niliwahi kuonyeshwa jinsi ilivyo lakini nimeshaisahau kabisa. Hata ukinionyesha screenshot yake sasa hivi na maneno 'whatsapp' yasipokuwepo sitaweza kabisa kuitambua.

Nne, ni kweli ninaishi na kupiga boksi mbele, lakini I put it on my late father and on my daughter that it is not me. It is someone else that's being talked about.

Tano, ni kweli at least mara moja kwa mwaka (wakati mwingine zaidi hata ya mara moja) huwa nachukua vacation na kuja Tanzania, but I swear upon everything that whoever is being talked about is definitely not me.

Hahahaha komredi sentensi moja tu ningekuelewa. Ila kwa hii makala imenibidi sio tu nikuelewe bali pia nikuamini.
 
ts always 50/50 dr. so take ur chances. bt note that90% wa social network r.ship ni fake.. so try ur 10% maa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom