Is this real?

Is this real?

Alafu pia u dnt even knw how he luks like, au mlishatumiana picha? kama bado then u have fallen in love with the imagination na hyo ni mbaya sana, things may go very different when u meet. Ingawa kuna watu wachache sana wameoana baada ya kukutana online lakn pia najua wengi walioumizwa na kudanganywa sana na hayo mambo ya online relations, na pia huwa much easier wote mnapokuwa mji mmoja kuliko huyo alie millions of miles away. Either way gudluck

Thank you MrsLeo for your advice. No i am not in love with my own imagination, namfahamu kwa sura and i can vouch for him kwamba hizo picha ni za kwake coz zipo ambazo ninaonyesha uhalisia. Nitaufanyia ushauri wako kazi nashukuru.
 
Well kaka Eiyer ni kweli unachokisema ila haina maana kwamba wote walioko hapa ni 'fake'. Naamini wapo watu wa kweli and this i speak from experience coz i've been here for the last 3yrs na nimeshajionea mengi,wapo watu real na wapo fake na cha msingi ni kwamba nachohitaji hapa ni ushauri tu.

Unaweza kuona kama nilikuuliza swali la ajabu lakini nilikuwa najua nakuuliza nini

Hebu angalia sasa utam unapokuja

Hebu rudia kukisoma ulichokiandika halafu uniambie kama ungefikiria ulichoniambia ungekuja hapa kuuliza hili swali

Enenda na amani ila kuwa mwangalifu sana

Zingatria hicho ulichokisema hapo juu!
 
Naelewa unachopitia mamii, acha muda useme huku ukimshirikisha Mungu, ukisali na kumwombea yeye pia isije kuwa unaingia choo cha kiume...all in all time will tell.

Thank you Chujio kwa ushauri wako mzuri. I've prayed about it and i just hope it's for the best. Have a blessed Sunday.
 
So i met this guy here (JF) sometime last year and we kind of became acquintances. Tukawa tuna PM once in a while, nothing personal,just mambo ya kawaida. Then a couple of months later akaniomba if we can connect via whatsapp,i was hesitant in the beginning ila baada ya kushauriana nikaona haina shida so we exchanged numbers. He's Tanzanian but he lives & works overseas & only travels home once in a year. We kept in touch every now & then and our comminication became stable. I came to realise that we share a lot more in common that i'ld have expected. This jamaa knows how to speak right through my heart like no other man does, nimejikuta nimefall in love with him like 'heads over heels' and it's crazy. I am scared that i've falllen for a total stranger & i hardly know anything about him except what he's told me about himself. Hivi is social networks relationships real? This distant relationship thing,is it doable? How do you tell that you are not getting played or anything? Jamani kama wapo wadau ambao walimeet this way and they are now a real couple or in a stable relationship hebu nipeni ushauri usikute nimeingia cha kiume hivi hivi najiona. I am past the infatuation period & i know what i feel for him is true love and it's driving me bananas. Natanguliza shukrani zangu.

Huu mwandiko kama naufananisha na mtu nayemfahamu.

Ngoja nimwite rais wa wabeba box komredi Nyani Ngabu isije ikawa yeye ndo kadondokewa au mmoja wa raia zake.
 
Last edited by a moderator:
Take a chance
Mahusiano yoyote ni kuwa makin tuu kwa maana wapo weng tunaowafahamu inn n out lakin wameishia kuumiza moyo za watu/ kuoana, wapo walokutana online wakafika mbali / kuumizana
Kikubwa jua tabia zake....msome jitahid muonane
Don't rush in love

Nashukuru sana Ichana,ushauri wako mzuri nitaufanyia kazi.
 
This area is highly protected by the authority. Don't pass or park here! By Authority!
 
Thank you Chujio kwa ushauri wako mzuri. I've prayed about it and i just hope it's for the best. Have a blessed Sunday.

Asante sana Miss Kim.. usisahau kutupa feedback, huenda wengine wakajifunza kitu toka kwenu

Ps. Naomba niwe mwanakamati if all goes well!
 
Mimi sipendi mtu anayeuliza kama mauhusiano ya mtandao yako real or fake.
Ni vitu viwili tofauti, huyo mwanaume uliyekutana naye hawezi fanana tabia ama kingine na mwingine ambaye wamefikia ndoa au kuachana katikati.

Unatakiwa wewe kama wewe kumchunguza na kuona kama anakidhi vigezo.
Ila ukianza kulinganisha kama kuna aliyefanikiwa kwa njia hii, ukadhani wanaume wote wanafanana kitabia imekula kwako shost.
Kila la kheri.

Nashukuru Bantu Lady kwa ushauri wako. Sio kwamba najaribu kulinganisha mtu mmoja na mwingine,all i needed is to hear other peoples' experiences and to learn from them coz naamini kwamba experience is the best teacher.
 
Mie sikutishii nyau wewe,nakusakizia mbwa wa polisi tu

Hata uje na huyu siogopi .......

Tiger.jpg

Unaogopa nini sasa?
 
Alafu pia u dnt even knw how he luks like, au mlishatumiana picha? kama bado then u have fallen in love with the imagination na hyo ni mbaya sana, things may go very different when u meet. Ingawa kuna watu wachache sana wameoana baada ya kukutana online lakn pia najua wengi walioumizwa na kudanganywa sana na hayo mambo ya online relations, na pia huwa much easier wote mnapokuwa mji mmoja kuliko huyo alie millions of miles away. Either way gudluck

Kweli mkuu,usemacho ni kweli kabisa
 
So i met this guy here (JF) sometime last year and we kind of became acquintances. Tukawa tuna PM once in a while, nothing personal,just mambo ya kawaida. Then a couple of months later akaniomba if we can connect via whatsapp,i was hesitant in the beginning ila baada ya kushauriana nikaona haina shida so we exchanged numbers. He's Tanzanian but he lives & works overseas & only travels home once in a year. We kept in touch every now & then and our comminication became stable. I came to realise that we share a lot more in common that i'ld have expected. This jamaa knows how to speak right through my heart like no other man does, nimejikuta nimefall in love with him like 'heads over heels' and it's crazy. I am scared that i've falllen for a total stranger & i hardly know anything about him except what he's told me about himself. Hivi is social networks relationships real? This distant relationship thing,is it doable? How do you tell that you are not getting played or anything? Jamani kama wapo wadau ambao walimeet this way and they are now a real couple or in a stable relationship hebu nipeni ushauri usikute nimeingia cha kiume hivi hivi najiona. I am past the infatuation period & i know what i feel for him is true love and it's driving me bananas. Natanguliza shukrani zangu.

I never had a relationship katika social networks, so Im not sure if they can last for a long time.. but if I put myself in your shoes, I would've step out of line till I meet with the stranger, I understand the power of "a lot of things in common" and I never underestimated it but I don't ALWAYS use it as a fact that Im in love.. you better wake up, I suggest you meet with him and get to know him a little better, THEN and only THEN you'll know for sure if he's the one for you.

He/She who is not courageous enough to take risks, will accomplish nothing in life.You just follow your heart but take your with you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom