Is this real?

Is this real?

Ennie umbuje..nimesema nawe wazi wazinya kwamba mimi leo bana...bia hapana...siko poa umbuje....halafu tena hommie wangu anantafuta nimsaidie msalaba wake...

Kama ndivyo basi nabariki kujificha kwako!!
 
ndugu story yako inanikumbusha jirani yangu nae alidanganywa hivihivi kwamba jamaa alijifanya ni black america kaja siku moja anajidai katoka ulaya kumbe jamaa katoka tukuyu mbeya kala mzigo wee kama wiki ivi kampachika na mimba juu baada ya hapo jamaa kasepa dada wawatu kasubiri na yeye aitwe ulaya kumbe daah

Hahahaaaa, umenichekesha jamani. Me kuna mtu naona kabisa anadanganyika, jamaa kamwambia yupo nje ya nchi, full kumtumia picha za assets, shoga kapagawaje.....basi watoto wa mjini tunaangalia movie tu....na shoga alivyo na mashauzi sasa hata kumwambia unadanganywa tunashindwa.
 
Sssshhh..usimwambie Asprin au Eiyer kwamba unanipikia kitu kitam to go for the night....sawa umbuje
Wala sitawaambia Umbuje,Hasa huyo hommie Wako utastukia yuko mlangoni tena muda ule wa tukio muhimu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sssshhh..usimwambie Asprin au Eiyer kwamba unanipikia kitu kitam to go for the night....sawa umbuje

man-wondering.jpg
 
Distance relationships

Online dating

Will never happen to me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom