girls are so cheap
If ur nt a risk taker dnt gt involved...huwezi kupata jibu kiurahisi kama he's 4 real o nt.
girls are so cheap
Surely my dear. Wanawake ndio maana wanadanganyika kwa urahisi. No wonder shetani aliamua kumdanganya kwanza Hawa katika Maandiko matakatifu. Unajua Adam asingekubali upuuzi wa hsteani! Sasa mtu humjui historia yake, iweje ujiweke rehani kwake? Akikuchinja je? Dada ulihitaji umfahamu huyu mtu vizuri hata historia yake na ya ndugu zake alikokulia.
Well....we've never met physically ila tumeshaongea kwenye cm and we chat on a daily basis. Kuhusu mstakabali wa uhusuano wetu,we both want a serious relationship that could mature into something else in future but it is too early to tell na tatizo langu ni kwamba how do you tell that your partner is being faithful or not while you live worlds apart?!!Kabla sijakushauri naomba nikuulize kitu!Mmeshaonana?na mkaongelea kuhusu mstakabali wa uhusiano wenu au ndo mnachat tu?
Both my heart & mind seem to be in unison on this one although there's a sixth sense that's telling me to be catious. Ila tatizo ni kwamba nimeshapenda and i'ld like to give 'us' a chance,afterall it's not like i am selling my heart to the devil na uzuri it's not a physical relationship kwamba niseme all he wants is to get laid & off he goes. Tatizo nikujua kama kweli hivi vitu vipo or i am just but a lone dreamer!
Its very difficult to tell when the two of you are apart from each other…huwezi kujua mienedo yake kupitia kwenye chat au tabia zake.Well....we've never met physically ila tumeshaongea kwenye cm and we chat on a daily basis. Kuhusu mstakabali wa uhusuano wetu,we both want a serious relationship that could mature into something else in future but it is too early to tell na tatizo langu ni kwamba how do you tell that your partner is being faithful or not while you live worlds apart?!!
Usitusingizie
Huyo mwanaume ndio expensive
Thank you Heaven on Earth. My heart tells me to go for it,after all hawa wa hapa hapa tunao waona kila siku wanaishia kutunda so i guess i've got nothing to lose. I keep my fingers crossed & hope for the best.Go for it mwaya sema muongelee status ya mahusiano mapema..
Muone kama wote mnataka ku achieve same goals at the end of the day
Duh aiseee reality yako itakuwa tofauti from ur expectations….nakuelewa sana unavyojisikia kwasababu nishapitia hayo and i learned my lesson the hard way!!We never video called each other but we do phone calls.
Usibishe You so Cheap !!Ni Viazi Tu !
girls are so cheap
Surely my dear. Wanawake ndio maana wanadanganyika kwa urahisi. No wonder shetani aliamua kumdanganya kwanza Hawa katika Maandiko matakatifu. Unajua Adam asingekubali upuuzi wa hsteani! Sasa mtu humjui historia yake, iweje ujiweke rehani kwake? Akikuchinja je? Dada ulihitaji umfahamu huyu mtu vizuri hata historia yake na ya ndugu zake alikokulia.