little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 558
Teh mimi kukuelewa siwezi, huyo mwenzangu anaweza akakuelewa. Si Unajua watu hatufananihahha we ukinielewa na ye ndo atanielewa hivyo... ni wale wazuri tu waliopitiliza
Mmmmmmmh dada yangu usiwe mkali hivyo....mshauri jinsi ya kuepukana na hali hiyo jamani
Shemeji..shemeji..shemeji. Mungu na akubariki ukayaishi haya yote na zaidi. Umesema vyema sanaNa kwako Pia Shemeji.. Ifikie Wakati TuliZike na Wale tuliopewa na Mwenyezi Mungu.. Unapoamua kuoa au kuolewa ni kwamba umemuoana anayekuoa au unayemuoa ndio kila kitu katika Wote Ambao Umekutana nao. Hakuna Dhambi kubwa kama kumkana mwanamke Aliyekuzalia. Machozi ya Wanawake Yatatupa laana kubwa sana na Ipo siku tutayalipia
Shemeji..shemeji..shemeji. Mungu na akubariki ukayaishi haya yote na zaidi. Umesema vyema sana
Kwa hiyo soulmate wako unakutana naye tu ukichelewa kuoa/kuolewa? Mtu sahihi mtu anapewa na Mungu katika age yoyote ile ambayo Mungu anaona inamfaa mtu huyo.kuharakia kuoa na kuzaa mapema katika ndoa kunakufanya uumkose huyo intern.. Karma ain't bitch to you...... ni wewe kutokuwa na mapenzi tena na mkeo sio kama ulikuwa unaiba huku moyo umelala kwa mkeo...No!... umekutana na soulmate wako hauwezi ficha hisia zako kwakwe kwa mkeo.
Umenifundisha kusubiri maana haujui lini na yupi atakuwa sahihi... ujana unahitaji kujifunza mengi thoroughly kuliko kukimbilia kufanya maamuz katika hayo mengi...
Karma is not comes like that! U gonna face what u deserve!! Right now u still hang with the shadow if your mchepuko!
Nimetoka kapa. Ajitokeze mtu atafsiri please!
Mgeni mbona unamshauri mwenzako vibaya?
why getting married wakati nafsi bado haijatulia... I'm sure ungekua hujaoa usingeshindwa kumchukua intern ukalea na hao watoto wawili ulionao!!!
Vijana tuchelewe chelewe kuoa... kuna wengi wazuri bado hamjakutana nao 😊😊😊!!!!
Kosa kubwa ulilifanya ulivyoamua kuficha marital status yako. Usirudie tena, professionals wanakwambia principle no. 1: Don't ever put mchepuko ahead your wife (the big mama). Mchepuko has to know and agree that she is no 2. Otherwise, piga chini and move on.
Kweli umezimika..hahaa
Not right..kwa hiyo kuchelewa ni miaka mingapi? Na anayewahi ni mingapi
Amen shemeji angu. Sina hata cha kusema. Ubarikiwe hadi ushangae.ni tumaini langu kwa yule ambaye nipo nae ataishi katika mikono iliyo salama. Natambua thamani ya niliyenae, natambua heshima na upendo wake juu yangu.. Ameishi kama jicho na mwanga wangu katika giza nene, akanitoa na kuniweka kwenye mwanga... Hakujali mapungufu nilionayo akaamua kuishi na kunipenda mimi. Kwanini nimlipe ubaya? Kwanini nimtendee kile ambacho hajawahi kunitendea? Nasema hapana shemeji
Amen shemeji angu. Sina hata cha kusema. Ubarikiwe hadi ushangae.
...
FYI hadi unafikia kumuoa/kuolewa na mtu ni kwamba umemuona bora kuliko hao wengine. Umeishi naye weee ndo sasa hivi unahisi eti sio chaguo lako sahihi...
...
FYI hadi unafikia kumuoa/kuolewa na mtu ni kwamba umemuona bora kuliko hao wengine. Umeishi naye weee ndo sasa hivi unahisi eti sio chaguo lako sahihi...
Ahsante Shemeji nami nakuombea Huyo Uliyenae Asiwe kama mleta mada.. Mungu akusimamie na Akuepushe na Walafi kama Sumbai, kaboom na Bro eli79
Kuna wale walilazimishwa kuoa/kuolewa na kuna waliochaguliwa.
Sio kila tulioko nao ndoani ni machaguo sahihi au yalitoka kwa Mungu!!