Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,320
Kiboro dinda at work, muache mkeo ukamtafute huyo intern umuoe afu uone kama ukiishi nae atabaki intern as you see her au nae atakua kama wife ambae leo unamuona kama kibwengo....
Bahati mbaya zaidi ni kwamba wazuri hawaishi na haitotokea siku ukasema "huyu ndo mzuri kuliko wanawake wote", tena ukishaoa ndo utadhani wametumwa kwa watakavyojitokeza wazuri wengiii. Unless utaamua kuridhika na mmoja basi hutooa milele.why getting married wakati nafsi bado haijatulia... I'm sure ungekua hujaoa usingeshindwa kumchukua intern ukalea na hao watoto wawili ulionao!!!
Vijana tuchelewe chelewe kuoa... kuna wengi wazuri bado hamjakutana nao 😊😊😊!!!!
Nimetoka kapa. Ajitokeze mtu atafsiri please!Karma is not comes like that! U gonna face what u deserve!! Right now u still hang with the shadow if your mchepuko!
Nimetoka kapa. Ajitokeze mtu atafsiri please!
Bahati mbaya zaidi ni kwamba wazuri hawaishi na haitotokea siku ukasema "huyu ndo mzuri kuliko wanawake wote", tena ukishaoa ndo utadhani wametumwa kwa watakavyojitokeza wazuri wengiii. The choice is yours
labda mkeo atakuelewae teh, kwa hiyo kila mzuri barabarani lazima umuonje? Kwa hiyo uzima wa mtu upo kwenye namba ya wanawake wazuri anaowatokeea? Kama huna hofu ya Mungu basi utampitia kila mwanamke unayehisi ni mzuri kwakoKama na nyie mnayajua haya tuvumiliane kwenye michepuko... wengine tunakutana nao usipowatokea unajistukia kama ni mzima kweli
labda mkeo atakuelewae teh, kwa hiyo kila mzuri barabarani lazima umuonje? Kwa hiyo uzima wa mtu upo kwenye namba ya wanawake wazuri anaowatokeea?
Duh mi nimependa uandishi wakoo tuuu...
Heshima yako shemejiwazuri Wapo na Wataendelea kuwepo ikiwa unazuzuka na uzuri wa wanawake au wanaume ikiwa upo katika ndoa ni Upuuzi.. Ladha ni Ile na Utamu ni Ule
nimekukosa muda mrefu mama, vipi umzima?
Mmnh hiyo ngumu kumetha,fanya kitu roho napenda
labda mkeo atakuelewae teh, kwa hiyo kila mzuri barabarani lazima umuonje? Kwa hiyo uzima wa mtu upo kwenye namba ya wanawake wazuri anaowatokeea?
Ulitegemea mkeo akishtukie halafu kila kitu kiwe sawa?????
Kama unaona intern mzuri sana muache mkeo kaoe kiranga chako....
Heshima yako shemeji
Nipo fresh ibra...sjakuona kitambo humu