Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,782
- 21,007
Error
sasa mshauri ni namna gani naondoka katika tataizo hiloEvery decision you make has its consequnces. Your unhappiness and everything you are going through right now are the consequences of your actions. Hakuna miujiza katika maisha, kila mtu atavuna kile alichokipanda. Ukipanda ngano utavuna ngano, hali kadhalika ukipanda magugu utavuna magugu.
Every decision you make has its consequnces. Your unhappiness and everything you are going through right now are the consequences of your actions. Hakuna miujiza katika maisha, kila mtu atavuna kile alichokipanda. Ukipanda ngano utavuna ngano, hali kadhalika ukipanda magugu utavuna magugu.
talking in and outs can only be meaningful if I have sababu za maana za kwanini nilimtenda au nilimdanganya juu ya ndoa yangu. Most probably she has found a person already has moved on na kujaribu kwangu kumtafuta kunaweza mkumbusha maumivu nilompa
sasa mshauri ni namna gani naondoka katika tataizo hilo
Ulitegemea mkeo akishtukie halafu kila kitu kiwe sawa?????
Kama unaona intern mzuri sana muache mkeo kaoe kiranga chako....
Mbona maneno kuntu mpendwa? Najua inauma kuona mwanamke mwenzio akisalitiwa na kuumizwa ila naomba upunguze hasira na usitumie maneno makali.