Is this a Murder or Suicide ? .

Hapo kwenye sigara ndio panamaliza utata, kama sio staged by the murderer, sipati picha dada alikuwa anavuta sigara, akaji-shoot, BANG! ILA SIGARA NA PISTOL HAVIKUDONDOKA! KWA ALAMA ZA "DAMU" ukutani, ni wazi kama kaji-shoot basi alikuwa kasimama. Sasa mpaka anaanguka bado hivyo vitu (pistol na sigara) havijatoka mkononi, i can't buy that!
THIS IS A MURDER CASE!
 
Nimekaa nikatafakari sana juu ya hii picha . Mwishowe nimegundua tukio lilikia Suicide.

Reasons zangu .

1.Suicide note.
2. Mazingira ya Stress , Uwepo wa Sigara nyingi na Chupa ya Pombe kwenye Bin.
3. Damu inayovilia upande wake wa kushoto/na bastola ameshika upande wa kulia that means baada ya kumaliza kuandika alichoandika , aligeuka kuupa Mgongo dirisha na akajishoot.. .angalia Mark Ukutani ya damu pia .

Criticism za analysis yangu ni moja tu.
Iweje ajishoot na afanikiwe kudondoka na Bastola pamoja sigara mkononi ?
 
Kwa kweli, anaonekana sio professional killer.
Hata hiyo sandal inaonekana moja hapo, inaonyesha kulikuwa purukushani haswa mpaka sandal nyingine ikapotea.
Silaha mkononi is not enough evidence.
Do know professional killers/Assassins? mmhh...think again! professional hitmen wengi hufanya research kuhusu targeted victims. kwenye scenario ya kwenye picha, mtu anavaa gloves na masks then anavamia ulipo. amebeba bunduki ambayo haijasajiliwa...anakuchapa risasi ya kichwa and then anakushikisha Bunduki plus fegi. anaandika note feki kuonyesha kuwa umejiua. unakuta muuwaji anajua mpaka past relationship zako..."anaandika...siwezi kuendelea kuishi Duniani nikishuhudia jamaa akila raha na wadadaz wengine!". .......detective watachunguza kama ilikuwepo force entry na struggles...wata-rule out kuwa ni suicides.
 
kuwa detective ni kazi ngumu. kwa afrika, technology inatuangusha kupambana na uhalifu. unakuta askari anayejiita mpelelezi anaenda crime scene hana hata camera wala note book. yupo yupo tu.....
 
huyu kadunguliwa na wasio julikana

ushahidi.
ndala/malapa kumvuka na stuli kuanguka inaonesha kulikuwa na purukushani kabla ya kuperekwa kuzimu.

kuendelea kushikiria sigara na bastola wakati kaanguka toka kwenye kukata roho ni ngumu kashikishishwa hivo vitu.
 
It's a Murder
Position aliyokuwa amekaa kwenye kiti kabla ya kupigwa risasi dhahiri silaha ilipachikwa kwenye mkono wa kulia badala ya kushoto
 


Forced entry ni kweli inaweza isigundulike na assassin akatoka kwa hilo kama mtu anaweza kuingia ndani kimya kimya, lakini hiyo sigara kuendelea kubaki kwenye fingers ndo italeta utata.
Unless kama muuaji sio serial killer na asijali kuacha trails.
 
Mi nakupinga, kwa jinsi stuli ilivyo na jinsi hivyo vitu vya kuonyesha stress ktk meza vilivyo na jinsi alivyoshika pisto MKONO WA KULIA, na sehemi ambayo damu ipo, HAVIENDI PAMOJA. Kama angejipiga kisha damu kuonekana ukutani upande wetu wa kulia basi alivyosimama au kukaa kabla ya kujishoot inge-make sense kuwa alitumia mkono wa kushoto ila kashika pisto mkono wa kulia INGAWA yawezekana aliji-shoot akiwa kakaa na kaangalia upande wetu, ila evidence nyingi ni za murder!
Kwangu naona ni staged tena by an amateur murderer.
 


Hapo kwenye pistol na sigara naona muuaji kachemsha. He/She did it wrong.
 
Kuna vitu katika hii picha vinavyoashiria kuwa hii scenarior ni murder.
mfano ukiangalia position ya vitu vilipo kama ashtray,kalamu, soda utajua kuwa huyu ni lefthanded, sasa kama ni lefthanded haiwezekani kujiua kwa kutumia right hand.


Hii ya kuwa left-handed ni Observation nyingine Interesting. Ndio inavyoonekana.
 
Murder.
Coz kuna signs zinaonyesha kuwa she struggled before her death.
Umenoa.

Hiyo ni suicide.

Huyo kajiua mwenyewe. Kwanini nasema kajiua.
1. Ameshika chuma mkononi kwa vyovyote amejipiga yeye.
2. Mezani ameacha ujumbe kwa maana hiyo kuna mtu aidha mtoto au mme kamwachia sababu ya kujiua.
3. Muuaji kwa asilimia nyingi asingeweza kuingilia mlangoni angeingilia mlangoni basi asingetokea mlangoni angetokea dirishani lakini madirisha yapo locked.
4. Huyu demu alikuwa kwenye stress mezani kuna chakula hajala kaishia kuvuta Bangi ipo mkono wa kushoto.
 


Mkuu swali liko kwenye hivyo vitu alivyoshika mikononi na kwenda navyo mpaka chini wakati anadondoka huku bado kavishika, mkono wa sigara at least ungeachia kidogo basi but bado uko tight, kama sio kuwekewa ni nini?
Halafu na hiyo scene inaonyesha there was a bit of a chaos, kuonyesha kulikuwa na 2nd person.
 
Murder.
Coz kuna signs zinaonyesha kuwa she struggled before her death.
Ni ngumu kutoa jibu.moja kwa moja. Kuna dalili za mshike mshike wkt juo huo demu ana [emoji379] [emoji379] mkononi
 
Kwa hapo nitakuunga mkono.
 
kuwa detective ni kazi ngumu. kwa afrika, technology inatuangusha kupambana na uhalifu. unakuta askari anayejiita mpelelezi anaenda crime scene hana hata camera wala note book. yupo yupo tu.....


Sasa Scenario kama hii, Muuaji si anatoboa kiulani kabisa kama watu hawatakuwa makini na evidence zote!..
 
Hii inaitwa ni staged scene, blood spatter inaonyesha hivyo, pia mkono ulioshika gun, haiwezekani ukajipiga kwa mkono wa kulia kwa direction hiyo
 
Hii inaitwa ni staged scene, blood spatter inaonyesha hivyo, pia mkono ulioshika gun, haiwezekani ukajipiga kwa mkono wa kulia kwa direction hiyo
Labda alijipiga akiwa 'anaangalia' upande wetu angalau??!!!
 
Very Genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…