Mungu ni mmoja tu. Lakini kwake kuna nafsi tatu, Mungu baba, Mwana (Yesu) na roho mtakatifuWakati waislam wakiwashangaa wakristo kuamini kwamba yesu ni Mungu. Wote wanakubaliana kwamba mwanadamu anatokana na Udongo
Na hii ya kutokana na Udongo? Unaweza dadafua?MU
Mungu ni mmoja tu. Lakini kwake kuna nafsi tatu, Mungu baba, Mwana (Yesu) na roho mtakatifu
I have a number of scriptures to show you that Jesus is God, but let me start by asking you.Mimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu
Hata binadamu anatokana na udongo siamini
Na huyo Yesu pia sio?Wakati waislam wakiwashangaa wakristo kuamini kwamba yesu ni Mungu. Wote wanakubaliana kwamba mwanadamu anatokana na Udongo
Kiswahili tafadhaliI have a number of scriptures to show you that Jesus is God, but let me start by asking you.
Who is Jesus to you?
Weka hizo fact? Wakati huyo unaemwita Mungu na yeye alikuwa naye anaye muabudia,I have a number of scriptures to show you that Jesus is God, but let me start by asking you.
Who is Jesus to you?
Sentensi ya kwanza sawaMimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu
Hata binadamu anatokana na udongo siamini
Kiswahili tafadhali
Ulete kisha nitakuwa na uhuru wa kuamini nini?Sentensi ya kwanza sawa
Je hiyo ya pili nikikupa ushahid juu mwanadam kutokana udongo utakubali?
Samahan ktk sentensi inaonekana kuna typing error, je waweza rekebisha?Ulete kisha nitakuwa na uhuru wa kuamini nini?
Nitachagua cha kuamini katika ushahidi na vyanzo vyakoSamahan ktk sentensi inaonekana kuna typing error, je waweza rekebisha?
Nilimjibu joanah kwasababu alijieleza kuwa mkristo ambapo kwangu ilimaanisha tunatumia reference moja (Bible).Weka hizo fact? Wakati huyo unaemwita Mungu na yeye alikuwa naye anaye muabudia,
Maana hapo hakuna tofauti na yule aabudiae Ng'ombe, moto n.k
Historical figure who chose apocalyptic mean, Just as I did to be the hero of the GodI have a number of scriptures to show you that Jesus is God, but let me start by asking you.
Who is Jesus to you?
Hakika, katika vitu baadhi ya wakristo hubugi ni kuamini kwamba yesu ni MunguMimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu
Hata binadamu anatokana na udongo siamini
Nacheka tumbo hapa ah ah ah ahKiswahili tafadhali
Mimi ni mkristo ila siamini kwamba yesu ni Mungu
Hata binadamu anatokana na udongo siamini