Is Tanzania a primitive State?

Nawahakikishieni hizi ndege kamwe hazitatulipa, hatukuwa na strategies za hizi ndege kabla hadi sasa hatuna.
 
We are Not Primitive Many Have Decided to Keep Quite as Elimination and Vanishing in a Thin Air is the order of The Day
 
Huo mji uweza kuita vovote unavotaka either MUMBAI or BOMBAY bcoz in Aviation mtu anayeenda MUMBAI boarding pass yake na tag ya mzigo huwa vmeandikwa BOM ambayo ndo MUMBAI.
Wenyeji ndio wenye haki ya kutoa jina la mji wao, na sio wasafirishaji. Umechemka
 
A big puroburemu you wrote in Ingilishi, we are in a gudi traki, we have Bombardier, we have dreamliner, Sitigilaaz goji, Sitandadi geeji, etc, I wish I could be aijiipii, leader of enjoz
 
ofisini nina colleagues wangu Wakenya na Waghana.... yaani nina kibarua cha kuwakwepa tangu asubuhi.

wanataka kunisemesha lakini ninajifanya niko busy na blue Monday.

nyie CCM nyie.....kwa nini mnatuwekea watindiga kwenye ofisi yetu kuu?
yaani kweli kwa makusudi kabisa mmeturejesha kwenye zama za ujima nyie watu!!!
 
Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?


Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in
swahili.......
Our president could have sent a representative eg.minister,US ambassador himself sent only an assistant to represent him...tumekabidhi nchi kwa watu washamba, this statement sounds true now
 
Mshamba tu huyo raisi hana kazi ya kufanya ka fanya na serikali nzima kuwa watu wa propaganda tu
 
ofisini nina colleagues wangu Wakenya na Waghana.... yaani nina kibarua cha kuwakwepa tangu asubuhi.

wanataka kunisemesha lakini ninajifanya niko busy na blue Monday.

nyie CCM nyie.....kwa nini mnaturejesha kwenye zama za ujima!!!
Sema Uko Busy Kuliko Mtu Yeyote Duniani
 
Honestly Bojo, kuna Mumbai tu! Hiyo nyingine isipo.
 
Regrets to be part of this world wonders creatures.If BBC has made our Bombardier a big story what's wrong with us pretending to be more advanced even if we cant afford three meals a day.so strange for this forks
 
wanasema itaongeza revenues,hivyo itasaidia serikali kutoa nhuduma nyingine za jamii...sijui hizo tatu zimefanya nini?,mie sitashangaa kuletwa madege mengine makubwa yasiyotusaidia….hii serikali hata mtoto mdogo angeongoza vyema.
 

Attachments

Compare this two scenarios.
A father who owns 10 luxury cars bought a 11th one!
A father bought a first car, a medium luxury one!
Question: Which family will be more excited?
 
That remind me one thing:
Mzee kutoka kijijini aliona TV for the first time akaona watoto wa kizungu kwenye TV.
Alishosema: Niliwaambia wazungu wana akili bwana, hebu ona vitoto vinavyoongea kiingereza!
Hahahaha
 
Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?

Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in swahili.......
unapoendaga kununua vitu feki Si mchina anakushangilia, ulitaka ale kona ushtuke
 
The yesterday's scene at JN International Airport depicts Tanzanians as the people living in the 21st century only physically but mentally we're in the 19th century.

Celebrating the arrival of the aircraft to the extent of calling off the official business of the government shows not only how naive we're but how we lack seriousness in dealing with the problems and the challenges that perennially affect our nation.

From our experience, we know the way our government tries to distract our attention from concentrating about our economic plight so we should think about the aircraft.

We take this opportunity to advise the president to desist from practising his now 'trade mark' populist politics and instead engage in a comprehensive programme to push on his industrialization policy that is slowly turning into nothing but a political gimmick cunningly designed to garner him votes from the unsuspecting electorate in the last elections.

We urge him to reserve such frivolous events to be presided over by his deputies or the minister holding the communication and transport docket.

The countries such as Ethiopia and Kenya own a myriad number of such kind of aircrafts but have never cancelled the government's routine in favour of such senseless revelries. It's high time we became of age.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…