Kama taifa la watu waliopigwa na Umaskini kuwekeza mapesa mengi kwenye Project za maika mingi bila kuwa na uhakika wa namna gani hiyo Hela itaingia kwenye Mzunguko wa watu wakoHizo tatu uwezo wake bado sana. Fauda yake hata kama ipo ni ndogo sana maana inafanya kazi route za ndani tu ambazo hazina pesa nyingi.
Hizi kubwa zikifanya safari kubwa za ndege ndio zenye pesa.
Ninavyoona faida itachukua muda kuonekana. Hizo tatu zenyewe zimenunuliwa juzi juzi tu. So bado sana faida kuonekana
Bwanasema itaongeza revenues,hivyo itasaidia serikali kutoa nhuduma nyingine za jamii...sijui hizo tatu zimefanya nini?,mie sitashangaa kuletwa madege mengine makubwa yasiyotusaidia….hii serikali hata mtoto mdogo angeongoza vyema.
Ulichofanya wewe wanakiita Inferior Complex Kiinglishi sini Lugha tu wee jadili alichoandikaSasa unaandika kwa Kiingereza ili uonekane "umeendelea"? Ha ha ha, wewe ndio bado unaishi mwituni na manyani wenzako. Huo ndio ulimbukeni wenyewe.
Upuuzi mtupu. Halafu sio inferior complex; ni inferiority complex wewe kilaza.Ulichofanya wewe wanakiita Inferior Complex Kiinglishi sini Lugha tu wee jadili alichoandika
Ushamba wa ndege wa raisi unatuingiza kwenye hasara kubwa. Hakuna kipya hakuna jipya shirika lilikufa inakuwaje unalifufua bila kujua kwa nini lilikufaInategemea na frame of reference yako ni ipi, isitoshe kila kitu hapa Duniani ni relative, hivyo inategemea kama unalinganisha TZ yetu na USA ndiyo ni primitive na ndo maana tunaitwa third World.
Tatizo lako unaiangalia TZ kwa jicho la Muzungu wakati wewe siyo Muzungu labda unasahu hilo na kwamba hata ujitofautishe vipi na kujifanya Muzungu lkn kwa Muzungu wewe, wazazi wako na wote ni backward niggas tu.
Hivyo kukujibu swali lako tunaishi TZ na siyo USA na Watanzania hili kwetu ni big deal kwani hatujawahi kumiliki ndege kama hiyo na Raisi wetu ni sisi na ndo maana tumemchagua kwa maana ni sehemu yetu hivyo kama inakukera unaweza kuhamia kwa Muzungu lkn bado atakuona primitive monkey tu hata ufanyeje!
Ni wakati wetu kurudisha kwenye jamii, matunda ya elimu na ujuzi tulioupata bure enzi za utawala wa Mwl. Nyerere. Sisi tunaongozwa na elimu, siyo hisia kama wafanyavyo wachangiaji wa JF wengine. Je, wewe uko upande upi?may be I cant link between the two,but you failed to show us what exactly has been done by previous three planes, second,kwa taifa changa kama Tanzania kununua mandege makubwaa manne ni kumisuse resources! bajeti yetu ya fedha ni ndogo na priorities ziwe kwingine,afterall hao watalii mnaowasema kwani wanakuja Tanzania kwa mamilioni kiasi tutake kuwa na mandege mengi?????????,Magufuli anakosea lakini kuwa na wateteaji kama wewe kunanishangaza sana
Kwa balozi wa Marekani ni hatua chanya kwa soko la makampuni yao kuzidi kupanuka ili waendelee kupata kodi, wananchi wapate ajira nk!Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?
Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in swahili.......
Lack of appreciation is the greatest primitive wichcraft in Africa... tena wewe umeonyesha highest degree by feeling shy about it badala ya kuappreciate..... hii nchi tunairoga wenyewe bila kujua..There's no day like today that I ever felt shy like. When I saw my president being in a motorcade and hustling to the Airport so as to launch a plane that has arrived today from the US.
Was there any necessity to have our president in the scene? Is a plane so strange and austere to us in such a way that it was very much obligatory to have a head of state in place?
In this world of high class science and technology particularly in this 21st century, is a plane still a new thing to us?
The president's slogan lives by "Tanzania ya Viwanda " and not by 'Tanzania ya ndege ",so he should have just walked by his slogan in order to build more factories which would possibly have hired a big number of people, unlike planes.
I have seen the CCM fans clapping their hands on the arrival of the plane. To them, their chairman does not go wrong, he is their godfather.
A plane is just a sky bus, so having the government entourage in the Airport has exposed us internationally as the primitive state.
Ni wakati wetu kurudisha kwenye jamii, matunda ya elimu na ujuzi tulioupata bure enzi za utawala wa Mwl. Nyerere. Sisi tunaongozwa na elimu, siyo hisia kama wafanyavyo wachangiaji wa JF wengine. Je, wewe uko upande upi?
Ushamba wa ndege wa raisi unatuingiza kwenye hasara kubwa. Hakuna kipya hakuna jipya shirika lilikufa inakuwaje unalifufua bila kujua kwa nini lilikufa
Bombai = Mumbai nowadaysHakuna mji unaitwa Bombay, bwege wewe
Shule ya siku hizi sijui wanafundisha nini hata sijui, yaani unakuta mtu anamaliza f.6 hajui kama kuna mji unaitwa Bombay. Fantastic collaBombay ni mji katika india, nimeishi mda mredu tu huu mji so before you urgue fanya research
Wewe utakuwa na wivu wa kike. Pole sana @CiprofloxacinThere's no day like today that I ever felt shy like. When I saw my president being in a motorcade and hustling to the Airport so as to launch a plane that has arrived today from the US.
Was there any necessity to have our president in the scene? Is a plane so strange and austere to us in such a way that it was very much obligatory to have a head of state in place?
In this world of high class science and technology particularly in this 21st century, is a plane still a new thing to us?
The president's slogan lives by "Tanzania ya Viwanda " and not by 'Tanzania ya ndege ",so he should have just walked by his slogan in order to build more factories which would possibly have hired a big number of people, unlike planes.
I have seen the CCM fans clapping their hands on the arrival of the plane. To them, their chairman does not go wrong, he is their godfather.
A plane is just a sky bus, so having the government entourage in the Airport has exposed us internationally as the primitive state.
when we don't have you talk too much, and when we have it regardless how you also talk too much nonsense!!There's no day like today that I ever felt shy like. When I saw my president being in a motorcade and hustling to the Airport so as to launch a plane that has arrived today from the US.
Was there any necessity to have our president in the scene? Is a plane so strange and austere to us in such a way that it was very much obligatory to have a head of state in place?
In this world of high class science and technology particularly in this 21st century, is a plane still a new thing to us?
The president's slogan lives by "Tanzania ya Viwanda " and not by 'Tanzania ya ndege ",so he should have just walked by his slogan in order to build more factories which would possibly have hired a big number of people, unlike planes.
I have seen the CCM fans clapping their hands on the arrival of the plane. To them, their chairman does not go wrong, he is their godfather.
A plane is just a sky bus, so having the government entourage in the Airport has exposed us internationally as the primitive state.
Unaona sasa tayari ulishaelewa nilichotaka kukwambia Asante kwa kunisahihisha sasa turudi kwenye HOJA iliyopo hapa UbaoniUpuuzi mtupu. Halafu sio inferior complex; ni inferiority complex wewe kilaza.
MumbaiBombay ni mji katika india, nimeishi mda mredu tu huu mji so before you urgue fanya research
Hoja gani?Unaona sasa tayari ulishaelewa nilichotaka kukwambia Asante kwa kunisahihisha sasa turudi kwenye HOJA iliyopo hapa Ubaoni
Mi hepu yu, USA ambasada izi zea tu du bizinesi fo hizi kantre wisi za blaindizi hia yu sei vipofu, hi keni iveni silipu ini e tembe no probulemu ifu yu bai anaza puleni.Dah... teki faiv furom mi braza...furom mai hati .....🙂