Is Tanzania a primitive State?

Hakuna mji unaitwa Bombay, bwege wewe

Huo mji uweza kuita vovote unavotaka either MUMBAI or BOMBAY bcoz in Aviation mtu anayeenda MUMBAI boarding pass yake na tag ya mzigo huwa vmeandikwa BOM ambayo ndo MUMBAI.
 
Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?

Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in swahili.......
Hi seidi weni wi komenti oni zati pleni wi wili geti tabu sana...atarara nao mbere
 
Bombay ni mji katika india, nimeishi mda mredu tu huu mji so before you urgue fanya research
Kama ungekuwa unajuwa kufanya research ungejuwa kwa urahisi tu kwamba India hakuna mji unaoitwa Bombay bali kuna Mumbai.

Halafu unabana puwa mbele ya wanaume hapa eti nimeishi huko miaka mingi pumbavu kabisa, nyinyi ndio yale majinga mliokwenda kupokea ndege wakati hakuna jambo lolote jipya wala la ajabu.

 
 
Sasa unaandika kwa Kiingereza ili uonekane "umeendelea"? Ha ha ha, wewe ndio bado unaishi mwituni na manyani wenzako. Huo ndio ulimbukeni wenyewe.
 
Tanzanians...they oppose everything and propose nothing
 
May be you have primitive illusion about a kite.
I did not expect such gabbage from a 23 pair of chromosome creature like you.
Acha wivu wa nyani.
 
Kishimbe, my village's priority is water, availability of fish, enough food and reasonable price of building materials. Since we have no water which we had never seen since independence, I can not praise a president for bringing a plane which only 5% of Tanzanians a capable of purchasing the tickets.
 
wanasema itaongeza revenues,hivyo itasaidia serikali kutoa nhuduma nyingine za jamii...sijui hizo tatu zimefanya nini?,mie sitashangaa kuletwa madege mengine makubwa yasiyotusaidia….hii serikali hata mtoto mdogo angeongoza vyema.
Kwa taarifa za kibunge hasara yashirika la ndege Tanzania lilitoka bil tisini na kitu na kupanda hadi mia na kumi na moja na ushee.
 
aslilina tano (5%) ya watanzania ni takriban watu milion 2.5. Ni soko zuri hilo kwa biashara ya ndani ikiwa wote watashawishiwa wapande ndege.
 
Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?

Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in swahili.......
Kama hujajua kwanini Balozi wa US kaenda pale ikiwa ndege imenunuliwa Nchini kwake basi watz tunatatizo kubwa kuliko tunavyodhani...m
Ngoja nikusaidie Balozi alienda pale kuendelea kupalilia Dili lingine la Nchi yake kuwapiga Srepa nyingine ya ndege
Ulimsikia ujumbe aliotoa Rais kwa huyo
Balozi kama hukumbukia nitag nitakwambia
 
Nilicheka walipoimba tot ndege yetu ileeeeeeee

Rais wetu yuleeeeeeee

Doh
Hao jamaa niwakuwasemehewa bure tu maana sina hakika kama akili wanazotumia kufikiri nizakwao
 
Unamsaga mzungu lkn umekamua wananchi wako umeenda kumlipa huyo mzungu Rundo la mahela nani mwenye akili hapo
 
Ila watanzani tunaipenda sana Nchi yetu kiasi kwamba tunaamini kila tunaloambiwa na watawala
Kwa muono wako Atcl inarudi kuwa shirika la maana la Usafiri wa ANGA umeshajua faida kiasi gani imepatikana tangu ndege za Mwanzo zianze kufanyakazi
 
Inaonekana wakati wa Nyerere haya madude yalivyokuwepo ulikuwa bado hujaja duniani
Ukweli nikwamba yalikuwapo na Nyerere hakuwahi kufunga Ofisi kuzungumzia vitu vidogo namna hii....
Wengine sisi haya tunayaona ni mambo ya zamani kwa watu wapya!
 
Sio kwaanaezinunua wala washangiliaji mwenye majibu ya ulichouliza zaidi ya Assumption na wakiona unawazi hoja watatuma NOAH au NISSAN
 
aslilina tano (5%) ya watanzania ni takriban watu milion 2.5. Ni soko zuri hilo kwa biashara ya ndani ikiwa wote watashawishiwa wapande ndege.
Kushawishiwa au kuwezeshwa? Sasa hivi kila mtu anajiuliza atapata wapi pesa ya karo na kodi achilia mbali chakula ambacho ni mhimu halafu awaze kupanda ndege? Mtu anayetoka Dar kwenda Moro atapanda lini ndege? Train ningesema vizuri sana. Hata wa Kigoma ni wangapi wana uwezo wa kupanda ndege? Nimeweka 5% kuangalia wale ambao wana kipato ila si wote wanahitaji kupanda ndege.
 
Hapa ndio mnapojidanganya unasema kama Taifa hatujawahi kumiliki Ndege kubwa REALLY? labda ulikuwa hujaja huku Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…