Is someone teaching my wife sex tricks?

Is someone teaching my wife sex tricks?

we vipi sasa ulitaka aendelee kuganda kama mbuyu? kula raha acha kutusumbua na wasiwasi wako loh
 
Hi Mujumba. My name is Alfred( not real one). Been married for 3 years now. In all these years, my wife has been the quiet type and am always the one who takes the initiative even in the bedroom department. But last week, she shocked me when she attacked me like a Hungry Lioness in the bedroom and did for me crazy stuff which i did not know she was capable of. Not that it was bad, but am just curious why all these after 3 years. Did someone teach her these sex tricks recently? Its disturbing to me

help this friend of mine please.....
Duh....! Kwa mtazamo wangu moja kati ya haya yanaweza kuwa ya kweli;
  • Inawezekana huko nyuma alikuwa na mtu anayemrithisha, na hivyo kila akija kwako anafika bila hamu ya kitu hicho...! Sasa labda kakosa huduma huko, na hivyo bora ajifariji kwa kujiservia kulingana na kiu yake....!
  • Ndiyo, huenda pia amepata darasa lilomtoa ushamba na kumuongezea maarifa zaidi, na hivyo anatumia maarifa hayo bila kujua hayo ni mazingira mengine...!
  • Pengine alikuwa na maarifa hayo toka mwanzo, ila baada ya kuyaficha kwa muda mrefu, sasa ameamua kuvunja ukimya na kuaply ipasavyo....!
Nini cha kufanya;
  • Kama jibu sahihi ni la kwanza hapo juu, basi ni vyema ukajua ni mtu yupi huyo, na pengine nini kimetokea baina yao hadi ikawa hivyo...! Otherwise, get enjoying maana sasa ameamua kukaa nyumbani....!
  • Kama jibu ni la pili hapo juu, basi fanya juhudi kujua ni darasa lipi hilo....! Yawezekana amepata theoretical class, but she is applying practically....!
  • Kama ni tatu, basi worry not, maana ameamua kuweka makazi ya kudumu kwako...!
  • But, make sure that ulichokiona hujawahi kumfundisha wewe, na una kifua cha mbao na sio cha plastic kabla hujaanza utafiti wako....!

All the best...
 
Haaa au haukukidhi viwango vyake?

Kwa sababu nilimpata hajui kitu na sikumfundisha zaidi alitaka kunionyesha kwamba bado yuko vilevile ili nisimuhisi kama kapata walimu wengine.
 
There must be someone who's given her a lesson if not many...
Ndiyo maana huwa nafikiri JF si mahali sahihi pa kuomba ushauri wa kindoa. Sasa ukikutana na watu wenye mawazo kama ya Sefet kama watano hivi, hujaacha mke kweli? Mbona sisi wanaume tunasimuliana kila kunapokucha tukiwa kwenye bia juu ya namna ya kumhandle mwanamke na tukirudi tunajitahidi kuongeza manjonjo kidogo ili tuwaridhishe? Si vizuri kila kitu kukichukulia katika mtizamo hasi. Kwanini usifikirie kwamba ameshinda na wanawake wa kizaramo wakamwelekeza hayo mambo? Au amesoma gazeti la udaku juu ya hayo mambo? Tuwe tunajitahidi kuwa positive kidogo hata pale panapokatisha tamaa.
 
Ndiyo maana huwa nafikiri JF si mahali sahihi pa kuomba ushauri wa kindoa. Sasa ukikutana na watu wenye mawazo kama ya Sefet kama watano hivi, hujaacha mke kweli? Mbona sisi wanaume tunasimuliana kila kunapokucha tukiwa kwenye bia juu ya namna ya kumhandle mwanamke na tukirudi tunajitahidi kuongeza manjonjo kidogo ili tuwaridhishe? Si vizuri kila kitu kukichukulia katika mtizamo hasi. Kwanini usifikirie kwamba ameshinda na wanawake wa kizaramo wakamwelekeza hayo mambo? Au amesoma gazeti la udaku juu ya hayo mambo? Tuwe tunajitahidi kuwa positive kidogo hata pale panapokatisha tamaa.
kweli kabisa,hayo ni mawazo mgando, na vijarida kibao siku hizi vya kusoma,movie pia laaaaaaa
 
Kwa sababu nilimpata hajui kitu na sikumfundisha zaidi alitaka kunionyesha kwamba bado yuko vilevile ili nisimuhisi kama kapata walimu wengine.
Kuna mabikira kibao yanauzwa masokoni humu,alikuwekea tu itakuwa
 
Hi Mujumba. My name is
Alfred( not real one). Been married for 3 years now. In all these
years, my wife has been the quiet type and am always the one who takes
the initiative even in the bedroom department. But last week, she
shocked me when she attacked me like a Hungry Lioness in the bedroom and
did for me crazy stuff which i did not know she was capable of. Not
that it was bad, but am just curious why all these after 3 years. Did
someone teach her these sex tricks recently? Its disturbing to me

help this friend of mine please.....

Kwa hyo sasa hv amekuwa miuno gwedegwede?,cd hz kaka zinasaidiaaaa
 
What one man didn't do,another man will do....if u didn't bother to teach her another man will bother

wait for more suprises...
 
Ooh!wow lyk 2no dat gel coz need som one 2tch me swag jaman!congraturation gel.we kaka acha ushamba,relux tena inaonekana umepanc.
 
huu ni wakati wa digitali . . .analogia does no longer exist enjoy your moments.
 
Jilazimishe kuamini ur wyf is one of the most intelligent ladies....wakati wa uchumba na mwanzo wa ndoa, alijua utampenda tu....penzi si changa bhana, sasa ya nini kutumia silaha zote za maangamizi!! Kaona sasa huenda likachacha, ameamua kutumia baadhi ya silaha zilizokuwa reserved! Hilo swali unalojiuliza litakupa stress bure; shauri yako!
 
The best to learn from your wife is that she has been taught by fellow women, if it was a man/men she would never try it to you, instead she would invest on that man/men. If I were you, I would take my wife for a surprise outing somewhere to enjoy more if not the most!!!!!
 
Back
Top Bottom