gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
you got it right dude!kwanzanza wanawake u need to get it in ur thick skulls kuwa mwanaume akitaka kusex na wewe kavu dont mean kuwa anataka kuzaa na wewe!!! mwanaume anayetaka kuzaa na wewe atakwambia bwana mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa hilo?
point yako ya mwisho ya kwamba u create ur own happiness shows kuwa wengi wanaofanya hivyo wanakuwa selfish not taking into account the feelings za huyo mtoto. trust me no amount of money can replace the love of a father. hamna mtoto anayependa kwenda shule anaona wenzake wanachukuliwa na baba na mama yeye mama tuu and am talking from personal experience hapa. no child deserves such treatment.
but what can you say about a lady ambaye anatamani kuwa na mtoto wa kumzaa lakin she doesnt have a man to marry her instead akapata wa kumdonetia sperm tu??