Is single motherhood trending fashion?

Is single motherhood trending fashion?

Third Eye

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
373
Reaction score
210
Japo sijafanya uchunguzi rasmi, ila nimenotice kuna ongezeko kubwa la single mothers especially kwa wale waliosoma and/or kuwa na mafanikio kimaisha.

Is marriage becoming old fashion and single motherhood a trending fashion?

What is your take?
 
Mwanaume anaposoma anakuwa mjinga;
Mwanaume msomi anapika ilhali mkewe kakunja nne sebuleni akiangalia luninga;
Mwanaume msomi anamtawadha mtoto anapokuwa amejisaidia hata kama mkewe yupo;
Mwanaume msomi anajua ndoa sio utumwa.
Hii ni kwa kuwa amepanua sana ufahamu wake na kujua majukumu yake katika ndoa kwa uhalisia wake

Mwanamke msomi anazijua haki zake;
Mwanamke msomi ni mbabe anayejua kila kitu;
Mwanamke msomi ana uwezo wa kimaisha kujitosheleza peke yake;
Mwanamke msomi hajui majukumu yake katika ndoa kwa uhalisia wake;
Kwa kutojua majukumu anahisi anaonewa.​

Ziadi ya yote wanawake wamelishwa kasumba kwa muda mrefu;
Kasumba kuwa kuna mfumo dume unaowanyanyasa;
Kasumba imewafanya watafute uhuru kwa gharama yeyote
Uhuru unajionesha kwa kuamua kuwalea watoto wao peke yao
Uhuru umewafanya watamani kuwa HERMOPHRODITE.​

Lakini yote kwa wale wapenzi wa Mtume Paul;
Wanajua alisema siku za mwisho upendo utapoa;
Watu wataifuata tamaa yao wenyewe;

Naam ni ufumo wa maisha;
Wanaume wanawaogopa wanawake wasomi;
Wanawake wasomi tangu wakiwa vyuoni huwa wasumbufu;
usumbufu wao husababisha wanaume waanze kuwatafuta "MOGLO"
Na ndio wanaowaoa.
Wanawake wasomi matokeo yake wanakuwa "MANUNGAYEMBE"​

Ndimi Bazazi Nimesema.
 
I will drink to that mtumishi, Hallelujah, nangoja views zao wenyewe
 
the problem myt be you boys we mnapeana mimba na mwenzio
akija kukwambia ana mimba unamkana maili mia nane huyo
akiwa single mother utasemaje...........?

baadhi ya wanaume wamekua wasumbufu ndo maana mtu anajizalia zake
watoto basi analea,as long as uwezo wa kufanya hivyo anao
kwa nini kujitimbukiza katika maisha ya full stress wakati she can
create her own happines
 
kwanzanza wanawake u need to get it in ur thick skulls kuwa mwanaume akitaka kusex na wewe kavu dont mean kuwa anataka kuzaa na wewe!!! mwanaume anayetaka kuzaa na wewe atakwambia bwana mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa hilo?

point yako ya mwisho ya kwamba u create ur own happiness shows kuwa wengi wanaofanya hivyo wanakuwa selfish not taking into account the feelings za huyo mtoto. trust me no amount of money can replace the love of a father. hamna mtoto anayependa kwenda shule anaona wenzake wanachukuliwa na baba na mama yeye mama tuu and am talking from personal experience hapa. no child deserves such treatment.
 
OLD is GOLD, materialistic life.
Zamani wanaume walikuwa BENKI, Sikuhizi zipo ATM (wanawake)... !
 
the problem myt be you boys we mnapeana mimba na mwenzio
akija kukwambia ana mimba unamkana maili mia nane huyo
akiwa single mother utasemaje...........?

baadhi ya wanaume wamekua wasumbufu ndo maana mtu anajizalia zake
watoto basi analea,as long as uwezo wa kufanya hivyo anao
kwa nini kujitimbukiza katika maisha ya full stress wakati she can
create her own happines

Hujui uanachokizungumza,kama yamewai kukukuta usingekomenti ulichokiandika.
 
kwanzanza wanawake u need to get it in ur thick skulls kuwa mwanaume akitaka kusex na wewe kavu dont mean kuwa anataka kuzaa na wewe!!! mwanaume anayetaka kuzaa na wewe atakwambia bwana mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa hilo?

point yako ya mwisho ya kwamba u create ur own happiness shows kuwa wengi wanaofanya hivyo wanakuwa selfish not taking into account the feelings za huyo mtoto. trust me no amount of money can replace the love of a father. hamna mtoto anayependa kwenda shule anaona wenzake wanachukuliwa na baba na mama yeye mama tuu and am talking from personal experience hapa. no child deserves such treatment.

Pokea like yangu.
 
kwani na kila mwanamke anaekuvulia chupi anataka kuzaa na wewe
tatizo mimba ikiingia all the blame are put into women,wewe angalia
wanaume wangapi wametelekeza watoto huko mtaani,hata hela ya nepi
hamuwapi.arent they selfish?

2.I agree with you,kwamba the kid atahitaj love from both sides lakin
kutokana na drama za reletionship many pipo fall into that trap
 
the problem myt be you boys we mnapeana mimba na mwenzio
akija kukwambia ana mimba unamkana maili mia nane huyo
akiwa single mother utasemaje...........?

baadhi ya wanaume wamekua wasumbufu ndo maana mtu anajizalia zake
watoto basi analea,as long as uwezo wa kufanya hivyo anao
kwa nini kujitimbukiza katika maisha ya full stress wakati she can
create her own happines

SIYO hivyo tu kuna matukio mengi sana ya wadada kuingia kwenye ndoa kwa nia moja ya kulianzisha ili wagawane kile alichokikuta. Trend hii imekuwa kubwa sana siku hizi hasa with this laws overprotecting women
 
yamenikuta......
so am speaking from experience

Xperience gani? Wewe mwenye fikra za kudhani kidole kimoja kinavunja chawa?wanawake mnamatatizo,eti uzoefu...

Wenye uzoefu wanazungumzaga kama wewe?usiombee yakukute,eti wanaume wanakataa mimba?mimi sijaikataa na bado mwanamke analazimisha kuitoa mimba,then unataka kuniambia wewe una xperience,kweli unajielewa?
 
kwani na kila mwanamke anaekuvulia chupi anataka kuzaa na wewe
tatizo mimba ikiingia all the blame are put into women,wewe angalia
wanaume wangapi wametelekeza watoto huko mtaani,hata hela ya nepi
hamuwapi.arent they selfish?

2.I agree with you,kwamba the kid atahitaj love from both sides lakin
kutokana na drama za reletionship many pipo fall into that trap

ani will ask u wangapi kati ya hao wanaume waliomtia mimba mwanmake actually alimwambia mwanamke kuwa nataka nizae na wewe? most ni kwamba unakuta demu ametembea na jamaa muda without kupata mimba but all of a sudden eti accident...deep down kunakuwa na reason.

drama za relationship inatoka na wewe mwenyewe. its all down to choice and careful selection. simple as that
 
and if u ask women ni wangapi walijitegeshea,ni wachache sana.........,
baadhi ya wanaume wanapenda kukimbia majukum yao.......,na hapo ndo
single mothers wengi wanaanzia

2.how many people walihisi kwamba this is the right selection but those people
have turned into the worst nightmare they have ever imagined..,so it lies btn both sides
 
Xperience gani? Wewe mwenye fikra za kudhani kidole kimoja kinavunja chawa?wanawake mnamatatizo,eti uzoefu...

Wenye uzoefu wanazungumzaga kama wewe?usiombee yakukute,eti wanaume wanakataa mimba?mimi sijaikataa na bado mwanamke analazimisha kuitoa mimba,then unataka kuniambia wewe una xperience,kweli unajielewa?

kama wewe hujaikataa sio wote........,na yanikute mara ngapi
kwa hiyo unataka wote tufikirie the same?
thats my own opinion and experience you can take it or leave it
 
and if u ask women ni wangapi walijitegeshea,ni wachache sana.........,
baadhi ya wanaume wanapenda kukimbia majukum yao.......,na hapo ndo
single mothers wengi wanaanzia

2.how many people walihisi kwamba this is the right selection but those people
have turned into the worst nightmare they have ever imagined..,so it lies btn both sides

haya kama hawakujitegesha basi they daft to get pregnant and having to suffer knowing full well kuwa most likely the man wont stick around. u the mothers are the ones that suffer alot so y doesnt common sense prevailwhen it comes to such matters?

bliv me not many people have emotional intelligence and many a man have confused love with infatuation. it is to my understanding that many tend to enter relationships habouring hopes of it leading to something meaningful but that often clouds judgement. emotions are stronger than reason so one needs to be prudent. mwanamke au mwanaume anayefaa anajulikana kama u are willing to pay attention.
 
Japo sijafanya uchunguzi rasmi, ila nimenotice kuna ongezeko kubwa la single mothers especially kwa wale waliosoma and/or kuwa na mafanikio kimaisha.

Is marriage becoming old fashion and single motherhood a trending fashion?

What is your take?

arifu,you are damn right...natoka kwenye hood ambayo nina my very own sister,cousin sister na aunt wako ivyo..
Eti waanasema,wanaume hawana upendo wala sense of responsibility..
mie nshafunga mdomo siku nyingi,sisemagi neno ati...
 
Back
Top Bottom