The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 307
If many scandalous politicians have resurrected their political career why then should it be an anathema when those implicated in Richmondgate wish to do so? By the way, do they elect themselves? Where do they get their legitimacy and credibility? Aren't we the ones who vote them in and/or out?
Ultimately, it is our society that determines the success of a political comeback. We are that society. If we opt to be​ peculiar so be it. After all, it is the chief architect of our seemingly peculiar ‘familyhood' who sarcastically told us that we get the leaders we deserve.
If many scandalous politicians have resurrected their political career why then should it be an anathema when those implicated in Richmondgate wish to do so? By the way, do they elect themselves? Where do they get their legitimacy and credibility? Arent we the ones who vote them in and/or out?
Ultimately, it is our society that determines the success of a political comeback. We are that society. If we opt to be​ peculiar so be it. After all, it is the chief architect of our seemingly peculiar familyhood who sarcastically told us that we get the leaders we deserve.
Naweza kupendekeza kuwa Lowassa alikuwa na nafasi ya kujijenga upya baada ya kujiuzulu katika kashfa ya Richmond. Wakati ule alipojiuzulu alikuwa bado na umaarufu wa aina yake na umaarufu ambao ulilazimisha watu kugawanyika pande mbili kumhusu yeye. Nakumbuka walikuwepo watu ambao waliamini kabisa kuwa ni Lowassa aliyemjenga Kikwete na kuwa ni yeye kweli aliyekuwa mashine ya serikali. Maamuzi mbalimbali ambayo yalichukuliwa na serikali kati ya 2006 na 2008 yalimhusisha sana Lowassa kiasi kwamba haikuwa haki kumpa pongezi Kikwete bila kumpa pongezi waziri wake mkuu.
Anguko lake lilikuja kwenye suala la Richmond kama wengi tunavyojua. Nimerudi kuangalia mara kwa mara maelezo yake kwenye mahojiano yake na TVT (yanapatikana kwenye mwanakijiji's Channel - YouTube) na kumsikiliza zaidi ya mara hamsini sasa. Jinsi alivyolishughulikia suala lile hata kama ilikuwa ni kwa nia nzuri kiasi gani isingeweza kukubalika kwani alijipa madaraka ambayo hakuwa nayo. Na zaidi ni uamuzi wake wa kujiuzulu (kuzira) Uwaziri Mkuu kwa mtindo alioufanya ambao kwa kweli wengine japo tulitarajia lakini tulitarajia uwe ni kujiuzulu kwa kuwajibika siyo kwa kuzira.
Sasa kuanzia wakati ule wa kujiuzulu naamini umekuwa ni wakati wa majuto kwani yumkini amebakia kufikiria mara 1001 jinsi ambavyo angeweza kujitetea pale Bungeni bila kulazimika kujiuzulu. Siwezi kushangaa kuwa kama kuna majuto aliyonayo Lowassa ni jinsi alivyojiuzulu kwa haraka ili kuwapata kile alichokiita "a wish" ambayo wabaya walikuwa wanataka yaani "uwaziri mkuu". Nakumbuka maneno yake kuwa "I'm going to grant it".
Sasa, aliamua siyo tu kuzira lakini kuzira kabisa na mambo mengine. Ni wazi aliumizwa sana na tukio lile na watu waliokuwa karibu yake nao waliumia pamoja naye. Na wengi wameendelea kuonesha uaminifu kwake. Wamesimama naye na wameenda naye jangwani na hatimaye wamekuwa na matarajio kuwa wanaweza kurudi naye kwenye nchi imiminikayo maziwa na asali.
Tatizo ni kuwa Lowassa hawezi kurudia utukufu uliokwisha ondolewa. Alikuwa na nafasi ya kuurudia kama angefanya maamuzi sahihi baadaye. Na atakuwa na wakati mgumu zaidi kama atajikuta anachukuliwa hatua yoyote na Chama chake. Usalama wake ni kuweza kuzuia mashambulizi na kurudisha mashambulizi. Lakini endapo atajikuta anapewa "karipio kali" au uamuzi wowote adverse dhidi yake utakuwa ni mwisho wa nyota ya kisiasa ya Lowassa. Sidhani kama atakuwa na nafasi yoyote ya maana nje ya CCM. Isipokuwa kama ataweza kuondoka kweli na wabunge wengine ndani ya CCM ambao wanamtii na hivyo kusababisha a semi-parliamentary election.
Could Lowassa be a "come back kid"? I don't think so. Could he be a reckoning force? labda ndani ya CCM. Is he relevant for the political future of the country. AN EMPHATIC NO.
Utendaji kazi wake na ushawishi wake mkubwa ndio relevance yake
Naweza kusema kuwa Lowasa is still relevant kwa sababu ya mrithi wake Pinda. Tangu Lowasa ajiuzulu tunaona ni jinsi gani Serikali chini ya Pinda imepwaya na imeshindwa kufanya maamuzi mengi madogo madogo ambayo Pinda anayaona kuwa ni mazito,, yes Lowasa is a hero when it comes to taking difficult and right decisions, others remain a mystery...
MKJJ,
Hiyo paragraph ya 5, the last line unamaanisha aondoke CCM akaanzishe chama chake na "wafuasi watiifu" wake au unamaanisha aondoke CCM na kujiunga na already established political parties?
Kama ni the former naona atakua na the most to lose sababu chama kipya kabisa mpaka kienee nchi nzima kinahitaji muda na organisation ya hali ya juu, halafu ukiongeza na CHADEMA factor kusimamisha mgombea naona both CCM Asilia na CCM Lowasa will lose to CDM.
Kama ulimaanisha the latter, je watajoin chama gani kitachowapokea na chenyewe kikabaki na harufu safi na si kuhusishwa na ufisadi? Halafu tuassume waende CHADEMA, hivi CDM haikua na wagombea kwenye hayo majimbo ambayo "walichakachuliwa" na hao wafuasi wa Lowasa, je watashindanishwa ndani ya CDM au ni green pass?
I think analysis nzuri ila hapo hujapaweka clear....
Naweza kusema kuwa Lowasa is still relevant kwa sababu ya mrithi wake Pinda. Tangu Lowasa ajiuzulu tunaona ni jinsi gani Serikali chini ya Pinda imepwaya na imeshindwa kufanya maamuzi mengi madogo madogo ambayo Pinda anayaona kuwa ni mazito,, yes Lowasa is a hero when it comes to taking difficult and right decisions, others remain a mystery...
Let me give you the worst case scenario. Sema Lowassa anaondoka na kundi la wabunge pamoja naye (which is highly improbable) hawezi kwenda CDM au CUF. Na sidhani kama ataanzisha chama kipya. Chama pekee ambacho anaweza kuingia nacho ni UDP kwa sababu ya Chenge (kama Chenge naye anaondoka). Lakini, akitoka atakuwa amejiweka kuonja majoto ya silaha ya mashambulizi binafsi ya CCM (the weapon of personality destruction). Ndio maana he is smart hajaweza kuondoka na sidhani ataondoka mwenyewe.
I'll tell you one thing.. PInda angekuwa mwanasiasa wa aina ya Lowassa angeimbwa na kutukuzwa sana; think about it. Pinda siyo mtu wa kuandikwa sana na hatumii watu wa ofisi yake kuandikwa andikwa. Pinda ni simba mwenda pole. Tatizo lake kubwa ni kinyume kabisa na Lowassa yeye - kama wengi walivyosema alipoteuliwa - anapenda kuwa on the safe side. Hataki toka mwanzo kumoutshine Kikwete. Pinda ukimuondoa Uwaziri Mkuu sasa hivi wala hakuna mtu atakumbuka aliwahi kuwa Waziri Mkuu lakini rekodi yake ya utendaji utaona inapita kwa mbali tu ya Lowassa. Go figure.