Kwa wale wanaojua bei za viwanja na nyumba hapa DSM ni kuwa mkoloni Rostam amejinunulia nyumba maeneo ya ghymkana kwa bei poa.
Hii ni nyumba ambayo alikuwa anakaa DR. SHABA , na imenunuliwa kwa shilingi milioni mia nne tuu ile hali wizara ilikuwa imefanya valuation na kuonyesha kuwa bei ya nyumba pamoja na shamba la zaidi ya ekari tatu zilizopo eneo hilo ni shilingi bilioni moja na milioni mia nane. 1.8 billioni yeye kapew kwa milioni mia nne tuu.
Shame to the government and JK as well kwni yeye ndio anawalea hawa mafisadi.
Mkisema na nani? mbona unatumia sana lugha ya mzee anayetakiwa kustaafu ili vijana wapewe kazi - Kingunge?
WanaJF sidhani kama kiuafrika ni jambo zuri kuanza kumuita mtanzania mwenzetu mkoloni.Naona watu wanaangalia tu ukiitwa udhibitishe ni vipi Mhesh Rostam ni mkoloni unaweza?(kama unaweza dhibitisha).Au kisa rangi yake
Kwani wewe ndio msemaji wa mkoloni, mkwepa kodi na mwizi Rostam Aziz? Yeye ameitwa mkoloni hapa JF.... kama kinamuuma sana inabidi atafune nyembe au aje kujisemea mwenyewe....
Au ndio,......... ohhh ohoooooooo
Daah! Mwafrika dhibitisha kuwa Mhesh Rostam ni Mkoloni,mkwepaji kodi na mwizi.
Hii ni homework yako kupitia thread zote za JF kuona uthibitisho uliowekwa hapa b4 today....
Hii homework ina deadline ambayo ni kesho saa tatu asubuhi kabla ya kipindi cha Chemistry.
Tehe teeeh! umenifanya nicheke sana mwafrika
Mimi ni muumini wa sera barabara ziwe za cuf,UMD,TLP..Mwafrika muumini wa chama gani?
wana jf naomba nimpinge mtu,MIMI NINA ISHI JIRANI NA NYUMBA HIYO,NA SI MBALI KABISA NA NYUMBA YA MHE RC KANDORO,ROSTAM ANAKUJA NA CRUISER YAKE TUNAMUONA KAMA UNABISHA WAULIZE HATA WAGONJWA WA OCEAN ROAD MANA VYUMBA VYAO HAVINA MAPAZIA NA WANAONA YOTE YA NJE,SASA KIPOSITION ROSTAM ANA MADARAHKA GANI SIKU HIZI YA KUDEAL NA NYUMBA ZA SERIKALI?I MEAN ANAHUSUKA VIPI MPAKA AJE KUFANYA SURVEY KWENYE GOVERNMENT PROPERTY?MANA SIO WAZIRI WA MIUNDO MBINU,NI KWELI NI MJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDO MBINU,LAKINI HAIJAWAI KUTANGAZWA KUWA WANA SURVEY NYUMBA ZA SERIKALI,PILI SIO HATA MJUMBE WA BODI YA PCRS,SASA HUYU MKOLONI HII NYUMBA KAINUNUA
Mnadhani alikuwa anampigia kampeni JK bure? Kila mtu aliyechangia JK kupata urais ni lazima alipwe. Sasa nyie militegemea nini? Militaka JK atoe pesa zake mfukoni?