Is Lowassa again?

hakuna sheria kwa wabongo is a pick & choose na wengi mnapenda sheria ifanye kazi kama iko upande wenu mfano angalia mnavyoshabikia kuua watu mtaani kwa sababu niwezi na sababu mnayotoa ni kusave pesa ya serikali,hiyo hiyo system ndio inawezesha kina Aziz kujichotea wanavyotaka...mkijua kufuata sheria na taratibu zote haya mambo hayawezi kutokea
 

Hivi wewe sio mmoja wa wabongo? na kama sio, wewe ni nani?
 
...angalia huyu naye,just kwa sababu hakupenda nilichoandika kaanza kuhoji uraia wangu,kwa attitude hizi kazi ipo kweli kweli.

umetumia maneno wabongo... mkifuata.. as if wewe sio one of wabongo......
Hiyo ni judgement yako kuwa sikupenda ulichoandika.... nimekipenda ila imeshangaza wewe kuwaambia wabongo wafuate sheria ... otherwise...
 


Hii story hapo juu ina ukweli nusu. Ni kweli eneo hilo limeuzwa lakini mnunuzi si Rostam Aziz, kama mtu binafsi.

http://www.thisday.co.tz/News/2732.html


Check hii link for more details.
 
Yaleyale......... tukisema udaku mnakuja juu...
 
Kama property ya 1.8 billion inauzwa kwa 0.4 billion...it smells!
Tatizo ni jinsi ya kufuatilia hili suala. Hawa PSRC wameshajibu hizi tuhuma?

"PSRC officials have so far been unavailable to comment on the deal and its alleged improprieties, although they promised to respond to THISDAY queries today."
 
...angalia huyu naye,just kwa sababu hakupenda nilichoandika kaanza kuhoji uraia wangu,kwa attitude hizi kazi ipo kweli kweli.

Ila kama sikosei kwenye post moja uliandika kuwa wewe ni mmarekani na unavote bongo bila kuulizwa...

naomba kuwakilisha
 
Icadon,
unajuaje kama hakuna za ziada alizochukua Lowassa? Yaani watu hata kupanda dau kidogo hawataki?!

El-Hilal ndiye anayefanya shughuli ya kupekecha mchanga wenye almasi kule Mwadui. Sasa uliza pesa aliyolipa serikalini ni kiasi gani, na yeye anachukua ngapi.

NB:
Kuna thread kuhusu hasara anayotuingiza huyu El-Hilal.
 
...why is there so much animosity towards Aziz..i believe the one and only reason is COLOR!
 
Koba,
Couldn't you look beyond colour and find things like a rich corrupting crook? Even if RA was black as me his doings and intentions would still give me chills.
 
umetumia maneno wabongo... mkifuata.. as if wewe sio one of wabongo......
Hiyo ni judgement yako kuwa sikupenda ulichoandika.... nimekipenda ila imeshangaza wewe kuwaambia wabongo wafuate sheria ... otherwise...


Anasema ukweli wake yeye sio M'bongo soma between the lines.
 


Niliiona hii kwenye mada nyingine kama sikosei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…