Kwa siku tatu zilizopita kwenye social medial network kulikuwa na malumbano makalisana kati ya January Makamba dada yake Mwamtumu dhidi ya mwanadada Mange Kimambi na mzungu Vicenzo Cozzolino .Inasemekana Enzo kama anavyokulikana aliunganishwa kwa Makamba kupitia kwa dada yake ili apate tenda kwenye serikali ya Tanzania hususa ujenzi wa bandari ya bagamoyo,Enzo alimpa mh Makamba maelfu ya dola za kimarekani.Mheshimiwa Makamba amekiri kupokea hela .Baada ya malumbano Enzo ilikuwa azungumze na waandishi wa habari leo jumatatu lakini mkutano huo umefutwa na haijulikani kama utafanyika tena baada ya Enzo kufungwa mdomo na kusaini makaratasi toka kwa wanasheria wa Makamba.
Suala la kujiuliza huyu mzungu alikuwa ana -blackmail Mr Makamba ,Na kama alikuwa ana- blackmail kwa nini asimchukulie hatua .Kwa nini amfungishe mdomo siku aliyo taka kuzungumza na waandishi wa habari .Huu ni mfano mzuri wa viongozi wengi wa nchi za kiafrika katika kutumia nafasi zao serikalini kwa kujinufaisha .Mheshimiwa Makamba are you a saint or sinner