Is Jamii Forums the best Discussion forum in Africa?

 

Attachments

  • 1423496729400.jpg
    68.2 KB · Views: 114
  • 1423496892392.jpg
    65.7 KB · Views: 108
Jf is the place to be, we are far away from our motherland but when am browsing JF Im feeling like am at TBT Segerea.
 
Sijui ni mimi tu? Ila nimeingia ile sijaona mabadiliko yeyote zaidi inanirudisha hapa hapa tu

Kuna mabadiliko angalia vyema maana hata likes received and given zote ni zero! halafu Mobile view ilikuwa haioneshi detail za mwana chama lakini hapo zinaonekana pia swala la aliye anzisha thread ilikuwa kwa mobile view huwezi kuona mpaka ufungue thread husika lakini naona katika hii unaweza jua!

Nafikiri walitakiwa kuongeza na kitufe cha like kwenye mobile view!
kuna mambo yanaweza kulalamikiwa labda wayafanyie kazi mfano likes kuonekana Zero na pia join date na swala la aina ya members! Wanatakiwa kuipitia kwa kina kabla ya kuirudisha hewani!
 

Attachments

  • 1423497501929.jpg
    24.9 KB · Views: 100
  • 1423497527340.jpg
    40.6 KB · Views: 90
  • 1423497546108.jpg
    35.7 KB · Views: 86
  • 1423497611087.jpg
    35.2 KB · Views: 87
Why not??

Alinifurahisha muzungu mumoja alishuka airport akaniuliza hivi nasikia watanzania ukiuliza swali unajibiwa na swali nikamjibu nani kakwambia ??
 
Why not??

Alinifurahisha muzungu mumoja alishuka airport akaniuliza hivi nasikia watanzania ukiuliza swali unajibiwa na swali nikamjibu nani kakwambia ??

au kwanini unauliza?
 
Nairaland ni ulimwengu mwingine,kule watu hawana ujinga ujinga,Jf kwa east Africa aina mpinzani ila bado wana safari ndefu kuna kizazi kimevamia kinaleta utani kwenye kila kitu.

nairaland inawachangiaji million na zaidi kwa siku.
 
Nairaland ni ulimwengu mwingine,kule watu hawana ujinga ujinga,Jf kwa east Africa aina mpinzani ila bado wana safari ndefu kuna kizazi kimevamia kinaleta utani kwenye kila kitu.

nairaland inawachangiaji million na zaidi kwa siku.
Si kweli ina wachangiaji million kwa siku mimi ni mwenyeji kule member wanao kuwa on line huwa hawazdi 3000 kwa kila muda! Sema wanacho tuzidi ni jinsi wanachama wanavyo changia mada! Pia kwenye jinsi ya kuchangamkia mada sisi bado tunawazidi kabisa....kidogo jukwaa wanalo changamkia mada kwa wingi ni sports and politics!

Kingine ambacho tunawazidi ni idadi za topic kwa siku...huku Jf watu wanatengeneza thread hakika!
 
Jf Ni nzuri sema wachangiaji wengi wamejikita kwenye siasa na majukwaa ya marafiki na wapenzi na mambo ya jokes kuliko mambo ya science and technology na other issues lakini polepole ndio mwendo tutafika .tu muda mfupi nilikua namwangalia co founder wa jamii forums bwana mushi akihojiwa na east Africa television wana vision nzuri.
 
Nimekuelewa mkuu Ruta, nilijichanganya ni kwamba ina registered members mil 2 nafikiri kwa hili nipo sahihi....kuhusu kasi ya uchangiaji nafikiri bongo tupo kwenye top 5 afrika maana sio fb,insta wala tweeter tupo active sana huwezi fananisha na ke au ug.
 

hata registered member hawafiki million mbele ni Million 1+ . Ukitaka kujua Jf ni moto wa kuotea mbali jaribu kutembelea majukwa tofauti duniani! Aliye design muonekano wa Jf nampa big up sana maana hata Nairand hawatii maguu!
Kwa kasi ya uchangiaji sisi jf ni moto mfano jana nilikuwa nafatilia fainali ya AFCON nilikuwa napita kote Nairand na Jf hakika Jf watu wana shambulia thread kwa kasi sana!
Take a look!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…