Cc Invisible hivi yale maboresho ya mwishoni mwa mwezi 12 yaliishia yap?....sio mbaya mkapitia nairaland mkaongeza maujuzi zaidAisee nairaland forums nadhani is the best for africa kuna vitu ambavyo huwezi kujifunza kwenye forums nyingine kwa Africa. Jamiiforums igeni mazuri ya huku
Aisee nairaland forums nadhani is the best for africa kuna vitu ambavyo huwezi kujifunza kwenye forums nyingine kwa Africa. Jamiiforums igeni mazuri ya huku
Aisee NaijaLand is the best kwa kweli, though JF we do good... Zote hizo nimezitembelea na baadhi nipo mwanachama...
Naigeria wao wanatoa concrete issues sana.. Wapo vizuri.. JF kuna mazuzu flani wanaiharibu na pia stori hazibalance sana hasa pale story inapokuwa hot na inagusa maslahi ya wenye maslahi.. Basi mwenye maslahi anajitahidi kulinda maslahi yake..
Mkuu,Cc Invisible hivi yale maboresho ya mwishoni mwa mwezi 12 yaliishia yap?....sio mbaya mkapitia nairaland mkaongeza maujuzi zaid
Mkuu hapo umegusa pazuri sana. Kuna watu wana interest tofauti ilihali hawana majukwaa yao. Kuna wadau nawaona mara kwa mara wanaomba majukwaa na moderators wanakaa kimya kuliko kutoa feedback. Hadi sasa nimeona kuna gape kubwa kwenye;
1. Jukwaa la magari
2. Jukwaa la fasheni za nguo.
3. Jukwaa la malezi ya watoto
Mkuu,
Si ajabu baadhi ya watanzania wasipoona value ya kazi yetu; ila pia naamini hata hao wana la kujifunza kwetu.
Tumewapa muda mrefu na wa kutosha on changes hamkutilia maanani au wengine huenda nayo mliona ni kazi bure, hatuwezi kuyaacha yatumike bila feedback ya kutosheleza; mliambiwa tembeleeni https://www.jamiiforums.com/NewJF ili mjiridhishe kama huduma inaendana na mahitaji yenu au bado kuna mengi ya kuboreshwa.
Wapo waliotoa maoni, yatazingatiwa sana ktk marekebisho lkn sijaona yako!

Huo muonekano mpya umetulia, Ni wapi tuliambiwa tutembelee huo muonekano mpya!? kwa maana niliona ile siku moja halafu mkaiondoa... lakini kitu kimetulia...
Hivi Darhotwire iko wapi siku hizi? Tulikadaka totoz sana kule daaaah enzi zile internet access mpaka uende kwa Cafe
JF ndo bora kwangu.hayo mengine siyajui na wala sitaki kuyajua.mungu azd kuwalinda viongozi wake.Amen
sawa mwalim.JF ndio bora Afrika na kwangu pia.Ameuliza forum bora afrika sio bora kwako!
Tutajulia wapi kiingelesa wakati
BIG RESULT YENYEWE IMETUSHINDA