Chunga Sana
Senior Member
- Feb 3, 2015
- 117
- 88
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?
In Kenya there are Mashada and Kenyan List, Ugandan Red pepper, South African The South SA, and Nigerian NaijaLand while in Tanzania we have our dear JF...so which is the best Discussion forum in Africa?
kwa looks napenda JF look hasa ya desktop maana ndo pekee ambayo hua natumia, sema kwenye discussions hasa za technology wanigeria wako mbali sana,
wana interesting discussions sio humu JF watu wanakuja kuuliza tu matatizo mepesi ambayo mtu uki google jibu linatokea kwenye first link....
Ukija na mada zilizopinda hupati wachangiaji?,?
Jf ikitumika vizuri itakuwa kiunganishi kizuri kati ya wananchi na serikali yao, sema serikali yetu haitaki kukosolewa kwa lolote wakati mitandao kama hii hiyo ndiyo kazi yake mahsusi.
Sidhani kwa hizo nchi kama wana discussion za kutosha kama ilivyo kwetu ktk JF. Unaweza kuta ktk thread moja wapo matata kunazidi ya page 30 wakati huko kwaw haow wengine waweza kuta hataw page moja kujaa now shida..!!
Love JF
BACK TANGANYIKA
Mfano mzuri yule aliyeanzisha mada ya east africa kutumia simple currency, watu hata kujua challenges zinazotokana na hii process hakuna, utasema bongo nzima hamna watu wenye interest wala waliosoma uchumi, matatizo ya kusomea mitihani na sio kugain knowledge.Ukija na mada zilizopinda hupati wachangiaji?,?
Mfano mzuri yule aliyeanzisha mada ya east africa kutumia simple currency, watu hata kujua challenges zinazotokana na hii process hakuna, utasema bongo nzima hamna watu wenye interest wala waliosoma uchumi, matatizo ya kusomea mitihani na sio kugain knowledge.