Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
- Thread starter
- #21
Don Mongi nakubaliana na hoja yako kwa sababu nilishakuwa huko Kusini zaidi ya mara 3 kiukweli ukienda ktk migahawa ya chakula yani huwezi kufurahia mapaishi ya vyakula vyao.Nilidhani ni mimi tu ndo napata shida kumbe pia wapo wengine wengi.Kuna haja hawa watu walifanyie kazi suala hili la upishi wa vyakula.Ni hayo tu!!!!!
Asante mkuu kwa kukubaliana na hoja, mi ntawaletea walimu wa mapishi bure asee, kama mwendo ndio huu, yani vyakula havina ladha hata. . .si migahawani wala hotelini. . .