Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
Matumaini yangu kila mtu yuko poa wanajamvi. . . .
Niko huku kusini mwa Tanzania for almost a month sasa hivi, kuna jambo nimevumilia huku toka nimekuja, labda naomba niwashirikishe wadau.
Yaani kila ikifika muda wa lunch nakunja uso, reason ni varieties za chakula huku hamna sijui, kila siku ugali na wali, ukiulizia hata vyakula vingine hamna hata labda kwa wapenzi wa chips ambazo mie mwenyewe ni mlaji wa nadra sana.
Mbali na msosi kuwa 'monotonous' (wa kujirudia rudia) bado chakula hakipikwi vizuri, nasema hivi sababu nimejaribu kula sehemu tofauti tofauti yani bado hali ni ile ile.
Ndio nauliza jamani wanajamvi ule usemi kuwa wanawake wa kusini hawajui kupika ni kweli?? Yani unaletewa chakula hamu ya kula inakata hapo hapo, worse enough nawaona watu wa huku wanafurahia tu chakula na kukiona kawaida.
Almost a month now appetite yangu imechimbiwa chini.
Jamani wanawake wa kusini tafuteni maujuzi ya madikodiko.
Nawasilisha.