is it true?

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
salaam wapendwa.

jamani hivi ni kweli wanaume wengi walio na umri kuanzia miaka 40 kwenda juu, uwezo wao wa kufanya mapenzi ni mdogo?

Mfano, aki do mara 1, hawezi tena mpaka mwezi upite or wiki 2.
 
Wako fiti sana hakuna kitu kama hicho labda kama mgonjwa
 
si kweli kabisa kwamba ni wote bali ni kwa baadhi , na hii inategemea na afya yake ikoje labda kama ana maradhi yanayomsumbua.....pia inategemea ujana wake aliutumia vipi katika maswala ya mapenzi.

japo najua na naamini ujana ni maji ya moto lakin vijana tumieni ujana wenu mzuri ili hata utu uzima na uzee wenu uwe mzuri.
 
anaweza kuwa na miaka 20 lakini hana lolote.......hata kimoja hapati
 
Ngoja niwasubirie kina babu waje waseme hapa!!!!
 
Back
Top Bottom