Is it true that KANUMBA Freemasonry WAS?

Kama kanumba hakuwa free mason,we hauon nguo alizovaa?
 
tuzo ya ziff ya ze late kanumba,ikiwa sakafuni kwenye nyumba aliyokuwa akiishi
Huyu nae msanii kioo cha jamii.
AY naye anatafuta washabiki.
 
Inawezekana ni ulimbukeni na wala hawa si wachawi ila la msingi ni kujenga kizazi
kisichokuwa na akili za kimizimuzimu maana what you dream to be is what you are in actual sense.
 
kwani we kinachokushangaza ni nini? Mbona hukuuliza hilo swali kabla hajafa wakati picha ulikuwa nazo? Nahisi umetumia masaburi, yeye ndo angetakiwa kujibu swali hilo na sio sisi.

Hapo kwenye red mkuu, du wewe ni noma, unaongeaga ki fallacy katika philosophy inaitwa cast generalization. Hah hah hah hah.......!
 
Kama ni kweli kajitoa yeye badala ya mama yake itakuwa upendo wa hali ya juu sana!
Am sure kama angemconsult mamaye lazima angesema kama ndo ivyo mwanangu ngoja nitangulie!
All in all ameshakufa yatasemwa mengi sana!
 
Haya mambo ya freemason ni upuuzi mtupu! Mimi nayalinganisha na imani za kishirikina. Ni yapo kwenye fikra za watu tu.

Nakuunga mkono mkuu, naona yanakuzwa sana. Hasa usiseme na watu wa kawaida ila wale walokole walioishiwa la kuubiri na ujikita katika kuelezea kitu ambacho kiweza kuoghofya. La msingi ni kuwa hawa jamaaa wapo ila wanavyoelezewa ni beyondi normal.
 
Kijoka nenda English Course. Laiti tungekuwa tunaishi karibu ningekupa tuition ya bure lau uepuke aibu. Mara nyingi tumieni lugha zenu hata kama ni kimakonde. Maana ukisoma kichwa cha habari unavunjika moyo na kukosa hamu hata ya kuchambua hoja.

Ni typing error mkuu. Nadhani ata kama napigwa chenga hiyo heading ni rahisi kwa mtu yeyote kuiweka sawa. Ila naishi karibu sana na wewe hivyo ukinipa kozi ntaongeza chochote ingawaje sitakuwa kama mwingereza hasa kwa upande wa matamshi!
 

Umejaribu kugusia tu aina fulani ya members jst go deep
 
jamani wote nimewsoma naendelia kusubiri majibu
 
Hata web ya freemason walisema kuna wasanii wawili wa movies za bongo ni wanachama. Pia usikariri, Freemason sio kuvaa tu nguo za ajabu.
 
Sasa hilo hall lililopo Dar pamoja na akina Chande nao ni wa kufikirika?

hahahaa. Hao wanafunga macho na kujidai hawajui kinachoendelea wakati hivi vitu vipo na vimeenea.
 
Nipe web yao pls!

nakumbuka niliona kwenye forum yao. Kama unakumbuka kuna yule jamaa aliyeamua kufichua siri zao akasema kuna mastaa maarufu, mojawapo wapo wawili wanaoigiza movies.
 

Una maana ya hizi alama sio?
 

Attachments

  • acodex_53.jpg
    45.9 KB · Views: 221
  • Freemason Handshake Benedict Michelle Obama.jpg
    33.3 KB · Views: 265
  • Sistene Chapel Masonic God Hand.jpg
    88.7 KB · Views: 212
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…