Kuna kila namna ya kutafali elimu inatusaidia vipi katika nchi yetu , maana hii sio mara ya kwanza kuona post kama hii , kama mtu ni mtaaramu wa sheria unataka kujua kuhusu hesabu ili iweje , ungetoa kauri kwmba wanaosoma sheria hawajui lugha au kuandika hapo ningekusikiliza kidogo , hesabu na sheria zinamahusiano gani , hili ndio tatizo kubwa sana la kutafyta sifa kutokana na major unayochukua , wenzetu nchi za njee wanaanza mapema ku specialise kutokana na kuchukua masomo machache yenye mlengo wa career na profession mtu anayoipenda , sisi huku kwtu Imekua kusoma masomo mengi na magumu ndio sifa matokeo yake hatuna tunapoenea kotekote viraka ,