Babu umeeleweka zaidi ya kueleweka Babu aksante sana kwa kulifafanua vizuri. Hii ni kweli kabisa na bila kupenda inaangukia kwenye kundi la kwanza and hapo pa kuwa vulnerable ndipo mmjukuu wako ninapojikinga napo. Yes tunakuita kutengana but unaona kabisa hakuna dalili ya kurudiana kwa upande mmoja wakati upande mwingine unatake things for granted eti once married, you are married. Ni upande mmoja tu unaoona hakuna future huko mbele wakati upande mwingine unaona kuwa hata hilo giza kwake ni haki yake. hautaki kukubali kuacha simply because anakomoa! So unakuta anakimbilia kujishow off kwa ndugu kuwa anakupenda sana basi tu ni wewe ndie unayelichakachua penzi lake tena mwanaume mzima akashtakie uwongo na machozi juu wakati kwako anaact wierdly.
Kusema ukweli babu hata sielewi natamani nikamate ndugu wanaomtetea nitandike viboko kwa sababu hawako tayari kuopen up macho yao waone the reality.
Kama mmeridhia wote wawili kuwa you cant be together anymore. But kama mmoja bado ana yale majigambo ya mie najua kuoa tu, kuacha sijui ilhali bado anafanya madudu, bado anaabuse halafu anakuja kujisafisha kwa ndugu kwa maneno na pretendencies kibao bedo kuna haja ya hiyo cordial relationship?? Huo ucivil unakuja vipi hapo??

Eti inawezekana kwa wazazi waliotengana wakabaki marafiki?!
MJ1,
Hii thread sijui imenipita pitaje aisee.
Haya mambo ya kuachana yana mambo mengi sana
maana kuna wengine mnatengana (upande mmoja unakuwa haujaridhika)
haya ndo yanaweza kutokea. But all in all mie siwezi kuruhusu haya mambo
yanitokee maana mmezaa na inawezekana mmeishi pamoja mnajuana in and out
huyo asiyeridhika na hayo maamuzi atakuja na kujileta leta karibu ili mradi tu
muendelee na mawasiliano tushaachana ya nini kufatana fatana kila mtu ashike time yake
eti anakuja kwenye harusi, msiba sijui sherehe gani inahuu aendelee na mambo yake
Kuna mambo mengine mie huwa yananichosha na kunitia hasira sometimes
MJ1 piga stop haraka hiyo kitu asikuzoee zoee alah!
Watu wengine hawabebeki kabisa maana unambeba halafu anakukata na wembe mgongoni.
Kiukweli usikaribishe hayo mahusiano ya karibu kiviile kama anaulizia mtoto wake mara moja moja si
mbaya lakini sio kujiweka weka karibu na familia yako anataka??? Mie naona anatafuta kuonewa
huruma na wewe uambiwe mwenzio mbona bado anakupenda na ni mtu mzuri hebu msamehe
Hana lolote nakwambia huyo. Chuna kwa mbali
DA
Mhhhh,
Hivi wewe DA una upako wa kusoma minds za watu??? Ume-copy na ku-paste kutoka kwenye libichwa la babu yako!!
Naamini MJ1 atakusoma vizuri,
Babu DC!!
ikishafikia hatua ya kuachana ina maana kuna mambo hamwezi kuiva na hamwachani kwa siku moja kuna kuwa na mtiririko wa matukio kabla hawajatengana rasmi ..hizi ni mbegu hupandwa kwa muda wa mwisho kabla ya kutengana , kwa hiyo mkitengana kila mmoja atakuwa ameathiriwa na zile mbegu zilizopandwa dakika ya mwisho .. hivyo ni ngumu kualikana au kukaa pamoja kwa raha sana sana wahusika wakiwa waelewa watajuana au kukutana kwa suala la watoto tu napo itakuwa ni juu juu
- dharau
- kutokuaminiana
- kutokuwa na imani na mwenzako
- kiburi na majivuni
- hasira
- kushindana nani ni zaidi ya mwenzake
- etc
Babu DC habari yako binafsi,
Bwana wewe ukiona hivyo ujue nishang'atwa na nyoka nikiona jani naruka futi mia 9
Thanx darling! Na kweli hapa cheti kinatakiwa haraka ama sivyo maafa yanawezatokea lol. Hivi si kinapatikana hata kama upande mmoja haujaridhia?
Kama mmeridhia wote wawili kuwa you cant be together anymore. But kama mmoja bado ana yale majigambo ya mie najua kuoa tu, kuacha sijui ilhali bado anafanya madudu, bado anaabuse halafu anakuja kujisafisha kwa ndugu kwa maneno na pretendencies kibao bedo kuna haja ya hiyo cordial relationship?? Huo ucivil unakuja vipi hapo??
Babu umeeleweka zaidi ya kueleweka Babu aksante sana kwa kulifafanua vizuri. Hii ni kweli kabisa na bila kupenda inaangukia kwenye kundi la kwanza and hapo pa kuwa vulnerable ndipo mmjukuu wako ninapojikinga napo. Yes tunakuita kutengana but unaona kabisa hakuna dalili ya kurudiana kwa upande mmoja wakati upande mwingine unatake things for granted eti once married, you are married. Ni upande mmoja tu unaoona hakuna future huko mbele wakati upande mwingine unaona kuwa hata hilo giza kwake ni haki yake. hautaki kukubali kuacha simply because anakomoa! So unakuta anakimbilia kujishow off kwa ndugu kuwa anakupenda sana basi tu ni wewe ndie unayelichakachua penzi lake tena mwanaume mzima akashtakie uwongo na machozi juu wakati kwako anaact wierdly.
Kusema ukweli babu hata sielewi natamani nikamate ndugu wanaomtetea nitandike viboko kwa sababu hawako tayari kuopen up macho yao waone the reality.
babu dc habari yako binafsi,
bwana wewe ukiona hivyo ujue nishang'atwa na nyoka nikiona jani naruka futi mia 9
Kwa nini utembee kwenye nyasi?? njoo Tip Top huku full rami hakuna majoka ya mwituni
...urafiki wa mashaka haukubaliki!
Bold na undeline well said aisee
kumbe tupo wengi eeh!
aaah haya mambo mazito hapo nilisahau wivu ( kulinganisha kabla na baada ya kuachana)
...hii ni mada nyingine mamie, lakini nitakusaidia kujibu kwamba...ili uzisimamie haki zako pia kuepusha janga hili na mengineyo...cheti cha RITA kinahitajika iwapo umejiaminisha umefikia uamuzi wa mwisho kuhusu ndoa hii, na utausimamia uamuzi wako huo, for better or worse...
....mnh, mara nyingi nishazungumzia athari ya kufanywa msukule, bahati mbaya au nzuri....usukule unaweza kufanywa
directly au indirectly kama hivi...inategemeana na wewe mwenyewe unajikubalisha kuwa vulnerable kiasi gani...
...all in all, kuna haja hapo ku open up mbele ya kikao cha ndugu zako (wale muhimu) msimamo wako ili kuepusha majanga kama haya, maana kesho na kesho kutwa litakuja tokea jingine ambalo utajishtukia unabebeshwa lawama nyingine kwamba wewe ndio una kiburi, jeuri na madharau kwa mwenzio kumbe weye pekee ndio unaojua "kunguni wa kitanda chako"
...urafiki wa mashaka haukubaliki!
Yaani ndo hapo sasa eti nikikukuta na mwanaume mwingine nawapiga risasi wewe na yeye