Is It Just me or What,,,, I think JF is soo full ok babymilk babies khaaaa!!!!

May be kuna JF rule niliruka wakati nasoma,ngoja nikasome tena zile rules labda kuna restrictions za age!
 
si lazima kwani jamii inaweza kuwa either na vijana watupu au wazee watupu au watoto wote ni jamii si kama nilikua nashangaa ila i was thinking aloud!!!! my bad!!! it seems like i wasnt understood!!!sorry

hayo uliyotaja ni MAKUNDI katika jamii...
 
now this is an example of what i was refering to!!!!! hahahaha ok....

we angalia tarehe za kujiunga na maswali wanayoulizana kule kwenye jukwaa la mapenzi! Nadhani wengi hawajajifunza kwenye sayansi ya darasa la saba kwani wako std 5.
 
mnh wewe haya umeyajuaje???

mmekutana juu kwa juu ukagundua sio size yako?
 
No offence lakini kiukweli i found out humu kuna a lot of wanna be's and wanna try dudes and chicks perhaps,, or maybe am just too old.. khaaaa!!!<BR>i am not complaining or anything but i cant stop wondering!!!!

Justified observation!
 
nataka kuchangia ila sijaelewa vizuri kichwa cha habari kiingereza chake kigumu nisaidien kutafsiri,hapo nilichoolewa ni jf imejaa maziwa ya watoto na watoto wanayapenda au nimekosea!
 
No offence lakini kiukweli i found out humu kuna a lot of wanna be's and wanna try dudes and chicks perhaps,, or maybe am just too old.. khaaaa!!!<BR>i am not complaining or anything but i cant stop wondering!!!!

Join Date : 22nd March 2012

Anne Maria. unataka kutuambia kkwamba chupa ni mpya ila mvinyo ni ule ule wa zamani? hebu NiPM
 
I think she is not complaining, mbona anasomeka vizuri tu!

Kipipi wewe ndo mwelewa sana sio?...hao waliosema hawajaelewa they mean it...tuheshimike pia...hatuko hapa kupokea kila jambo/kukataa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom