Is It Just me or What,,,, I think JF is soo full ok babymilk babies khaaaa!!!!

hapa si kliniki ya watoto..

Sema labda ufananishe na Fb ,ila huduma ,mpango mzima ......
 
Kipipi wewe ndo mwelewa sana sio?...hao waliosema hawajaelewa they mean it...tuheshimike pia...hatuko hapa kupokea kila jambo/kukataa...

Usijali BAGAH, mie sio mwelewa sana na I stand to be corrected! I believe you know heshima huwa inakujaje mpaka mtu anafikia hatua ya sio tu kuheshimika bali hata kumaintain heshima alonayo.......for yaweza potea at the time being! Samahani kama kuna mahali nimeteleza na kuzi-undermind fikra za wenzangu! Sorry to BADILI TABIA ambaye ndie niliyekuwa nimemquote na kwa wengine wote!!
 
Last edited by a moderator:
haiwezekani!...kwani ule mtindi umefungwa?...aisee...who is next Kongosho

BAGAH ! Kama mjengoni sijui nikufananishe na Zitto Zuberi ? Yaani ungekua kt ya wabunge makini !
Ni kweli ulichokistukia bila kukopesa au kumung'unya huo ni mtindi milk !
 
Last edited by a moderator:
BAGAH ! Kama mjengoni sijui nikufananishe na Zitto Zuberi ? Yaani ungekua kt ya wabunge makini !
Ni kweli ulichokistukia bila kukopesa au kumung'unya huo ni mtindi milk !

Judgement goodmorning!
nimekukosa kirefu braza!

huwa nashindwa kumung'unya mwenzio...nina dayorea ya maneno...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom