Is it fair to be a second wife in christian religion

Labda jina lake ndio Christian afu mpagani.. kama ni mfuasi wa Christ kweli wewe jus anataka akufanye mchepulo wa pili then aku dump. Those stuffs like that u want get them in Christianity
Kama ni mfuasi wa Kristo kweli anataka amfanye mchepuko then amdump....yaani huyo ndio mfuasi Kristo kweli. Kazi ipo
 
Hakuna sehem bibilia imemzuia mkristo kuoa zaidi ya mke mmoja, actually bibilia inashauri tuoe zaidi ya mke mmoja. Mkitaka vifungu nawaletea. Mm ni mkristo halali kabisa
Inawezekana hakuna sehemu imekataza kuoa zaidi ya mke mmoja(inategemea kiwango chako cha uelewa na interest zako binafsi). Ila hivyo vifungu ambavyo vinashauri kuoa zaidi ya mmoja hata mimi navisubiri kwa hamu
 
Olewa tuu mbona tunao wakina john huku mtaani wengi tu wana wanawake wawili wawili.
 
Lakini si ame eleweka alicho kimaanisha; hivi mbona wa Afrika tunajifanya makajanja na lugha za watu ambazo hata waingereza wenyewe zinawashinda
Mkuu hiyo si lugha yetu uko sawa kabisa, ila ukiona hauimudu pambana na kiswahili kwani humu wengi kiswahili tunakimudu. Tatizo ni kuharibu lugha ya wenyewe kama wale wanaosema air hostage au I wish I could be an IGP
 
tuanze na hapo uliposema,you want a husband only for you.Umetumia vigezo vya kidini i.e christianity au mahitaji yako tu?
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
 
Labda sijasoma vizuri na sijasoma sana Biblia,lakini nimesoma baadhi ya maeneo nikaona kuna watu walikuwa wanaoa zaidi ya mke mmoja mfano Yakobo (Israel) na akazaa na wajakazi pia,sasa sijui wajuzi wa mambo wanasemaje kwa hili...!
 
Mkuu hiyo si lugha yetu uko sawa kabisa, ila ukiona hauimudu pambana na kiswahili kwani humu wengi kiswahili tunakimudu. Tatizo ni kuharibu lugha ya wenyewe kama wale wanaosema air hostage au I wish I could be an IGP
Umenichekesha sana eti air Hostage; hapo wanakuwa wanamaanisha wahudumu wa ndege ama?
Alafu unajua kuwa uoga wetu wa kuogopa kukosea umesababisha tunavuta mkia kwenye kutema yai EA japokuwa hata wale jirani zetu ni wabovu ila wanajitahidi sema tu wanajifia sana.
 
Labda sijasoma vizuri na sijasoma sana Biblia,lakini nimesoma baadhi ya maeneo nikaona kuna watu walikuwa wanaoa zaidi ya mke mmoja mfano Yakobo (Israel) na akazaa na wajakazi pia,sasa sijui wajuzi wa mambo wanasemaje kwa hili...!
Actually hata wenzetu KENYA, wameshapitisha sheria inayoruhusu kuoa Mke zaidi ya Mmoja, bila ya kujali dini yako. Iko kisheria kabisa sasa, na unapewa makaratasi yote.
 
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
Hivi hili nalo ni la kuuliza?
 
Yeah it is fair, for everything is fair in love and war
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
 
Inawezekana hakuna sehemu imekataza kuoa zaidi ya mke mmoja(inategemea kiwango chako cha uelewa na interest zako binafsi). Ila hivyo vifungu ambavyo vinashauri kuoa zaidi ya mmoja hata mimi navisubiri kwa hamu
Naomba kifungu kinachoruhusu[emoji39] nitangaze nia
 
Kwani kwetu sheria inakataza kuoa mke zaidi ya mmoja? Mbona nasikia ukifunga ndoa bomani unaulizwa kama hii ni ndoa ya mke mmoja au zaidi

Back
Top Bottom