Is it fair to be a second wife in christian religion

Is it fair to be a second wife in christian religion

Ukristo ni kuwa na Roho Mtakatifu, Kama huna Roho Mtakatifu wewe sio Mkristo.
Warumi : Mlango 8
14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
Kila mtu ana Roho Mtakatifu. Ile hali unataka kufanya kitu na unasita huyo ndiye Roho Mtakatifu mwenyewe.
Unamtusi mtu afu unajiuliza kwanini nimefanya vile huyo ndiye Roho Mtakatifu na kazi yake ni kututsaidia kumrudia Mungu kwa kutukumbusha makosa yetu ili tukatubu
 
Inawezekana hakuna sehemu imekataza kuoa zaidi ya mke mmoja(inategemea kiwango chako cha uelewa na interest zako binafsi). Ila hivyo vifungu ambavyo vinashauri kuoa zaidi ya mmoja hata mimi navisubiri kwa hamu
Hilo litakuwa ni agano la ........ Waandishi watakuwa ni.........! mfumo uliopo kwa wakristu ni ndoa moja mume akifunga nyingine iyo ni batili ndoa ya kwanza ndiyo halali hata, mke wa kwanza atatambulika kihali, uyo wapili ni hawara na hawara hana talaka na hana hana chake.
 
Kwani kwetu sheria inakataza kuoa mke zaidi ya mmoja? Mbona nasikia ukifunga ndoa bomani unaulizwa kama hii ni ndoa ya mke mmoja au zaidi
Penda kushuhudia na uone usipende kusikia, Kwa iman ya din ya kikristu ni mke mmoja mume akiowa mke wa pili ndoa ya pili huwa ni batili, Kisheria, Kwa islamic law mwanaume anaruhusia kuowa mke zaidi ya mmoja hadi wanne. Khantwe.
 
Penda kushuhudia na uone usipende kusikia, Kwa iman ya din ya kikristu ni mke mmoja mume akiowa mke wa pili ndoa ya pili huwa ni batili, Kisheria, Kwa islamic law mwanaume anaruhusia kuowa mke zaidi ya mmoja hadi wanne. Khantwe.
Nimesema bomani
 
No bomani or where islamic its is their right to add more than one but christians it is not their right to have more than one .
So I am confused because it is not a first time it is hundreads ,thousands times.
 
If don't speak english fluently it is fine because I am learning through my mistakes.
My be you are speaking good or excellent english but you dont have have humanity good heart and you have a depression.
See my friends in here life is good all the time.
 
Umenichekesha sana eti air Hostage; hapo wanakuwa wanamaanisha wahudumu wa ndege ama?
Alafu unajua kuwa uoga wetu wa kuogopa kukosea umesababisha tunavuta mkia kwenye kutema yai EA japokuwa hata wale jirani zetu ni wabovu ila wanajitahidi sema tu wanajifia sana.
Mkuu umenena, wenzetu wako agressive sana na hilo linawasaidia, ila pia ni lugha wanayotumia mashuleni kwa ukamilifu. Huku kwetu mwalimu mwenyewe grammar tu ni majanga, wanafunzi muda wote ni kiswahili na hata walimu wanatumia lugha zote mbili. Bila kuwa na msingi mzuri wa sarufi ya lugha yoyote hutokaa uimudu.
 
Hakuna sehem bibilia imemzuia mkristo kuoa zaidi ya mke mmoja, actually bibilia inashauri tuoe zaidi ya mke mmoja. Mkitaka vifungu nawaletea. Mm ni mkristo halali kabisa
Vilete tupate elimu
 
Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili: mwanamume na mwanamke. Hayo mengine ni formality tu ambazo hazina mchango wowote kwenye maisha yenu.
That means unaweza kuwa na ndoa zaidi ya moja
 
Mkuu umenena, wenzetu wako agressive sana na hilo linawasaidia, ila pia ni lugha wanayotumia mashuleni kwa ukamilifu. Huku kwetu mwalimu mwenyewe grammar tu ni majanga, wanafunzi muda wote ni kiswahili na hata walimu wanatumia lugha zote mbili. Bila kuwa na msingi mzuri wa sarufi ya lugha yoyote hutokaa uimudu.
Ni kweli inatakiwa misingi ijengwe kuanzia chini. Sasa mtu anasoma darasa LA kwanza mpaka LA 7 kwa kiswahili, akifika Form 1 unamvadilishia lugha inakuwa ngumu na hapo ndipo walimu wanajikuta katika hali ya kuchanganya kiswahili na kimalkia wakati wa kufundisha; bila hivyo hawataelewa kitu
 
Kama huwezi kujenga hoja na kukimbilia matusi wewe ni shog* mjadala umeunafilisha kuwa matusi. Anyway so kosa lako ni la waliokulea
Hey mind your business Nilikuambia lakini huskii au Unatafuta basha? Nilishaacha mambo hayo nenda kwa raju Zanzibar utapata hitaji lako.
 
Back
Top Bottom